Sista
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,208
- 1,038
Jana nilitoka na shemeji wenu out kucerebrate baada ya posa yake kupokelewa kwa wazazi wangu baada ya urafiki wa miezi miwili. Tukapanda zetu daladala. Ndani ya daladala
kulikuwa na viti viwili tu vitupu.
Mbele kwa dereva na hapo kwa
kondakta; mchumba wangu akaketi mbele na
msichana flani mzuri na slender kuliko mie bonge. Cha kushangaza nikaona shemeji yenu
anamuongelesha yule m-diva kila saa na kabla ya diva kushuka wakapeana namba za simu nikauchuna huku naumia moyoni. Kituo kilichofata tukashuka na kuanza kula bata.
Mara simu ya shem wenu ikabip mara kadhaa akawa anaichunia. Nilipoichungulia iliandika 'mrembo'. Baada ya muda akaamua kuipiga then akaniambia ni ofisini anahitajika kuna gharula. Fasta akasimama akanikiss, akanipa nauli yangu buku na kuniamuru nirudi nyumbani. Kuanzia siku hiyo namba ya 'mrembo' ikipigwa naambiwa ni ya sekretari wetu tunamwitaga hivyo kwa yuko too artificial ameniambia naitwa kazini. WanaMMU mwenzenu nimevurugwa sijui nifanyeje. Nisaidieni mwenzenu nimevurugwa.....uwiii