Mwenzenu nimeshinda $450,000 katika Fifa Xmass Promo.

Hawa jamaa huwa wananifurahisha sana pale wanaposisitiza kuwa hiyo heal haiwezi kukatwa hata kidogo, ili usije ukasema wakati hiyo processing fee juu kwa juu.
 
Back
Top Bottom