I salute all MMU, samahani kwa utakayekwazika kwa uzi huu ila.......... niko nyoronyoro.....
Mmmh!! Sijui ndo uteja, ila hapa nimekamatika, week end hii nilikuwa night shift full...
Haya maneno na huu wimbo ndo vilitawala kwenye night shift. Hadi sasa bado naimba, karibuni tuhorojeke pamoja.
Peace and love on a night shift.
Commodores - Nightshift - YouTube
Nipo best shule imenibana kiaina huku ungonini. Karibu tuhorojeke na night shift.
kila la heri....Ilikuwa zaidi ya kuimba best yaani we acha tuu naskia raha kama vile sitakufa loooh
nightshift raha kwelikweli
Uliimbwa na na nani huo wimbo? Unajua uzee unapoingia mambo mengine yanakuwa sometimes kushoto.
Hebu nielezee kidogo...mdada akiwa nyoronyoro huwa anakuaje?