mwenzenu naumwa sauti.

Hivi swtlo mke wa Baba V hata.anihonge vipo..
Kwanza sina hakika kama ameoa huyu au analeta umajinuni tu kutaka kujua ya vyuambani?

Halafu Asprin na shemeji yangu cacico ngoja niwakamate.....

umeona jins walivyo wagomvi enh!!
ngoja nipone sauti nitawatungia wimbo kama vile YAHAYA kwa JIDE
 
TheDealer bestito umepotea ww..wasalimie lesiraa
 
Pole saana mdogo wangu... Huduma uliyonipa ilitosha si lazma uimbe. πŸ™‚

On a serious note vipi unaendeleaje leo? Hiyo therapy umepewa imekusaidia ama ndio imekua worse?
 
Pole saana mdogo wangu... Huduma uliyonipa ilitosha si lazma uimbe. πŸ™‚

On a serious note vipi unaendeleaje leo? Hiyo therapy umepewa imekusaidia ama ndio imekua worse?

asante sana dada.
bado imekataa kutoka na naliona koo kavu sana. najua kuna vidonda.
ngoja nakucheki pm ni discuss na wewe kitu nyeti kidogo.
 
asante sana dada.
bado imekataa kutoka na naliona koo kavu sana. najua kuna vidonda.
ngoja nakucheki pm ni discuss na wewe kitu nyeti kidogo.

Kuwa makini usitumie madawa mengi mfurulizo... Koo ni kitu sensitive. Kama kuna hiyo dawa umetumia jitahidi usikilizie kwanza. Pole and get well soon dear.

Karibu sana naisubiri hiyo PM. Nikiona hutumi nakuzukia nyumbani kwako πŸ™‚
 
Pole sana teacher,

Ila hebu nambie ukweli...eti unaumwa kweli?

Mie nahisi kama kuna mtu kala hadi kakomba hadi mboga...lol!!:suspicious::suspicious::A S tongue:

Babu kumbe na wewe una maneno?
Shkamoooo babu
 
mwalimu pole sana hopefuly umeanza ku recover baada ya therapy.

Get well soon
 
Babu kumbe na wewe una maneno?
Shkamoooo babu

Hahahahahahahahhahahahahah,

Utu uzima dawa mdogo wangu...

Huoni teacher ameshindwa kujibu?? She knows what I am talking about...

Ila naamini sauti imerudi by now...the dose was not lethal..lol!!

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…