Mwenzenu naumiaaa!!!

Mapenzi bana
kila mtu na definition yake
Ila ku-handle mwanamke aelewe kaaaazi kwelikweli
 
Mlipokuwa mnavutana ulipata muda wa kumwuliza kama ana mke?
kama hana mke atakuwa amekwenda kijiji kupata baraka za wazee hajawaona muda unajua tena mtu akitoka ughaibuni kijiji kizima kinataka kumsalimia kumbuka vijiji vyetu havina umeme mawasiliano na internet cafe
pole sana kwa maumivu vuta subira
 
Siku zote kwenye mapenzi wanao umizwa ni wanawake janaume haliumii lina mareserve wengi kede kede.


mkuu una uhakika na hilo? sio mijanaume yote ni maplayer mazee, na hata playerz wanaumia vile vile usifanye mchezo na hizi ishu man
 
Ndugu zangu wana JF mwenzenu niko kwenye hali mbaya, ni miezi michache imepita nilipata mpenzi ambaye nilijikuta kumpenda baaada ya kuvutana sana , maana yeye alipokuja kwangu nilimueleza jinsi nilivyoumizwa huko nyuma na kwamba kwa kweli siamini kama ananipenda, pamoja na vipingamizi vingi nilivyompa akanihakikishia kabisa kuwa yeye hakika ananipenda kwa pendo la kweli. Basi nikajikuta naingia kwenye mapenzi, hivi juzi akasafiri kuja huko nyumbani maana tuko ugenini tunasoma, tangia afike nyumbani hakuna mawasiliano yoyote nilyopata nimejaribu kuandika email maana sina namba ya simu hajibu. Na sina jinsi nyingine ya kumtafuta maana huko nyumbani simfaham hata rafiki yake. Je ndo nimeachwa?? au mpenzi wangu amepata shida gani sielewi nahisi kuchanganyikiwa tu.

Nakushauri piga moyo konde
Binadamu ni kiumbe wa matatizo siku zote, na matatizo hayachagui mwaka, mwezi, wiki, siku, saa wala dakika
Inawezekana yupo kwenye serious problems
Mpe muda, unaweza kuamua kumuacha saa hizi baadae baada ya kupata mkasa wa matatizo yake ukajiona wewe ndio una makosa
 
mkuu una uhakika na hilo? sio mijanaume yote ni maplayer mazee, na hata playerz wanaumia vile vile usifanye mchezo na hizi ishu man

Pole Samora kwa hiyo ukitoswa na nyumba ndogo unaumia? Unaumia kwa kukosa penzi au unaumia gharama zako?
 
Siku zote kwenye mapenzi wanao umizwa ni wanawake janaume haliumii lina mareserve wengi kede kede.

Mkuu acha kabisa
Dume likikolea kihuduma kwa infii mmoja anasahau marizevu wote
Muulize Teamo anajua

Jamaa kaoa na watoto wawili juu, kaenda maeneo kaibuka na mke wa mtu, wakakolezana
Baadae jamaa akaja kumfuma best wake anavinjari na huyo mke wa mtu, jamaa alimaindi balaaaa wakati wote wawili wanaiba
 
Huwa hakuna bingwa wa mapenzi na kama wewe umeweka mambo yote wazi ndio maana unaumia zaidi ni vyema pia kuvuta subira kujua mtu ni muwazi kiasi gani. Haiingii akilini eti hata rafiki yake wa karibu humfahamu na vipi ndugu yake. Mtu wa ukweli huwa anakuwa huwa kukuweka karibu na ndugu zake ili ikitokea tatizo unakuwa na confidence ya namna ya kushughulika nae na unapewa utetezi wa kutosha kuliko kutofahamika kabisa. Ni wengi wameumia na wanarudia makosa yale yale na mwishowe wanaamua kuishi maisha ya bora liende. Please re-visit your love steps!!!!!!!!!
 
Usiwe na haraka ya kupenda hivyo! sijui ila umeme huku ni shida japo simu zina internet siku hizi!
 
Inawezekana kuna kilichomsibu.
Hebu taja jina lake nikusaidie kumtafuta.
 
Nawashauri dada zetu mkipata wachumba, wapende kama wachumba,mkifika stage ya ndoa hapo ndo uweke %100.Msiwe na haraka ya kupendwa hapo hapo mnawaza kuolewa. Kuolewa ni last stage kama mkishaona ndo chaguo sahihi,tofauti na hapo mtaumizwa sana na malalamiko hayataisha. Mfano,kuna mdada nlitokea kuwa naye karibu ,yeye malengo yake ni kutoishi dar es salaam,wakati mi naishi na kufanya kazi dar na sina mpango wa kuhama dar,cha ajabu alipigia simu eti anataka kuuza kiwanja chake cha dar anataka niende kuanza kujenga kiwanja cha Shinyanga. Kwa kweli nlishangaa sana maana hatujafikia makubaliano ya kuishi pamoja wakati sijakaa nae kumjua vizuri,kwa kweli ni hatari kuconclude kuwa uliyempata ndo chaguo wakati hamjajua kama mnaendana. Pia nlishangazwa na kesi nyingne nlipokuwa nimekwama kutoka kijigari changu bandarini kwa kubambikizwa kodi ya nyongeza na TRA,cha ajabu nlipigiwa simu na uyo mrembo akinieleza kuwa tayari kashaweka lak8 eti kwa kuwa gari itawasaidia wote. Nliona ajabu. Anyway kwa ujumla ni kuwa kuna tatizo kwa akina dada kujiaminisha hata bila ya kufanya utafiti au hata kukaa na mwenza mkakubaliana kwa usahihi. Kwa kweli mimi nlipatwa na wakati mgumu ktk matukio ayo mawili. Nawashauri akina dada tafakarini kwanza na chukua hatua!!
 
"Je ndo nimeachwa?? "

Kama ni juzi tu amesafiri, isnt this kind of thinking a little premature ?Kama ametoka mbali then factor in a few days for her to settle,catch up and bond with her family. Hata hivyo kwani didnt you guys discuss how you 'll be staying intoch before she left??
Thanks my dears for comforting me and some advices, My dear Nemo remember two months in Love is a long time and I'm real matured than ua thinking thats why I feel the dangerous alarm calling on my ears, is it possible real that he couldnt even manage to compose sms?? Jamani hiyo simu haichajiwi basi huo usiku umeme ukirudi?? Ila ok let me wait and see what we will happen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom