Mwenzenu naangamia

Mwenzenu naangamia

Kila siku nasema mwanamke ukimuonyesha unampenda utajuta atakuendesha kama gari bovu,hawa watu wanapenda kuendeshwa kibabe na kupigwa,na mambo ya kuitana itana baby mara sijui mchumba nooo,muonyeshe mapenzi yako kwake ila weka limit,baby sijui kwa siku muite mara moja au mara 2 na mchumba kama unatumia hilo neno kwa siku muite mara moja,na hamna kucheka cheka nae muda wote coz heshima inashuka na inabidi mtoto wa kiume uwe na msimamo akizingua piga makofi akili ikae sawa....

Mwanamke inabidi ukikaa nae umuweke kwenye mazingira ya kuogopa kufanya kitu fulani kwa sababu akifanya anajuwa lazima itakula kwake au atabamizwa,ukiishi hivi na mwanamke hutokuja kuona anakupanda kichwani kama huyu anavyokufanyia now...

Ok let me help u out solution ya tatizo lako kata mawasiliano for now acha usitume message na usipige simu wala usimtafute na mtumie message mwambie kwamba umemueleza hali halisi na umekiri makosa yako kwako kama amepata message na hajibu mwambie asiendelee kuangaika na hutomtafuta wala hutomtumia tena message na wala asiangaike kujibu message hata moja,then ukishatuma hiyo kaaa kama siku 3 hivi alafu mpigie simu au mtumie message na ukiona hajajibu au still hapokei ujue huyo hana mpango na wewe na wala hakupendi then mpotezee faster na tafuta mwanamke mwingine mzuri kumzidi...Simple na hivi ndio tunavyoishi na hawa wanawake...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

dah natumia simnw ila ningekuwa kwenye computer ningekupa like kwa herufi kubwa mkuu umeonhea pointi tupu
 
Habari Za Muda Wadau.
Naomba Msaada Wenu Mambo Yameniharibikia.
Nina Mchumba Aitwae Amina Ambae Tumeshatambulishana Kwa Wazazi Na Kwa Uweozo Wa Mwenyezi Mungu Nataraji Kumuoa Mapema Mwakani. Kabla Ya Kuwa Nae Takriban Mwaka Mmoja Ulopita, Tulikuwa Marafiki Wa Karibu Na Tulisaidiana Kwa Sihida Na Raha. Nilipo Mueleza Nia Yangu Mara Ya Kwanza Alikataa Na Akasema Hakuwa Tayari Na Hakutaka Kutoa Sababu Zaidi. Nilisikitika Sana Ila Sikuwa Na Namna. Urafiki Uliendele Japo Nilianza Kupunguza Mazoea Kwakuwa Nilitaka Kumtoa Moyo Mwangu.

Nikaanza Kuongeza Ukaribu Na Msichan Mwingine Aitwae Mariam Nilokuwa Na Mazoe Nae Ya Kawaida Kwa Lengo La Kumsahau Amina Na Ili Nimsome Huyo Mariam Kama Angenifaa Kuwa Mbadala Amina. Wakati nafanya hivyo, Amina Ndio kwanza Alizidisha Mazoe, Na Kwakuwa Tayari Nilikuwa Nina Mpenda Nami Nikajikuta Nazidisha Ukaribu Badala Ya Kupunguza. Nikajikuta Tayari Nipo Ndani Ya Sintofaham, Kwani Nilikuwa Na Mahusiano Ya Karibu Sana Na Amina na Mariam na Sikujua Hatima Yake.

Baada Ya Miezi Takriban 4 Tangu Nilipo Ongea nae Akakataa, Amina Alinitamkia Mweneyewe Kuwa Yuko Tayari Kuwa Nami Na Alikuwa Hajanifaham Vya Kutosha Ndiomana Awali Alikataa.
Kipindi Chote Cha Nyuma Kabla Hata Sijamueleza Haja Yangu, Amina Alikuwa Akimfaham Mariam Kama Ndugu Yangu, Ndivyo Nilivyomwambia Coz Sikutaka Ajue Kuwa Ni Rafiki Tuu Kwa Kuhofia Kuwa Angenitafsiri Vibaya Na Angeweza Kuakataa Ombi Langu Pindi Nitakapo Kuja Muelzamkwani tangu mwanzo nilimsoma Amina kuwa ana wivu sana.

Baada Tu Ya Kunieleza Kuwa Yuko Tayari Kuwa Nami, Tulianza Uhusiano Na Nikamueleza Ukweli Juu Ya Mariam Kuwa Si Ndugu Yangu Ila Alikuwa Ni Rafiki Tu. Sikumueleza Kwa Undani Kuwa Tulikuwa Na Ukaribu Mkubwa Na Wala Sikumwambia Kuwa Nilikuwa Na Mpango Wa Kuwa Nae (Mariam) Baada Ya Yeye Kunikataa Mara Ya Kwanza. Amina Alinishauri Nikate Mawasiliano na Mariam, Na Nilikubaliana Nae. Nilianza Kupunguza Mwasiliano Na Mariam Na Baadae Nikayakat Kabisa Na Mpaka Leo Hatuwasilani na huyu mchumba wangu analijua hilo.

Lengo La Kutomueleza Amina Ukweli Ilikuwa Ni Ktomuumiza kwasababu Ana Wivu Sana Na Sikuona Haja kwasababu Nilishakata Mawasiliano Na Mariam.

Sasa Balaa Limeibuka Leo, Kakuta Msg Tulizokuwa Tukiwasiliana Na Mariam Kwenye Computer Yangu Huwa Nafanya Backup Ya Simu Mara Kwa Mara. Nilisha Zifuta Msg Za Mariam Nyingi Ila Nadhani Nyingine Sikuziona. Hapa Nilipo Kashakata Mawasiliano Nami, Na Hataki Tuendelee Tena Na Uhusiano.
Nimechnganyikiwa sababu Nampenda Sana, Na Sikotayari Kumpoteza. Hapokei Cm, Hajibu Msg Japo Nimetuma Zaidi Ya Msg 30. Ni Takriban Wiki 2 Zimepita Tangu Nimtambulishe Nyumbani Na Niko Kwenye Maanadalizi Ya Kufunga Nae Ndoa Mapema Mwakani. Naombeni Msaada Wenu Wadau, Sijui Nifanyeje Anielewe.
Nimebebmbeleza Na Kujieleza Kwenye Msg, Nimeomba Msamaha Lakini Hakuna Kilichofanikiwa.

Niko Njia Panda Sijui Nifanyeje?
Wenye ujuzi wa haya mambo plzz nisaidiaeni.

Mke wako ni Mariam! Achana na Pasua Kichwa!!
 
Hii ni exactly kama iliyonitokea mimi. Hapo ndugu kama huyo Amina anakupenda kweli atarudi tu otherwise ana kipoozeo kingine.

Mimi wife aliwaka na kung'aka. Alivua mpaka pete ya uchumba. Ilibidi kusuluhishwa na mama yake. Ila tangu siku hiyo napekua kila siku kwenye back ups zangu maana kuna mengine hakuona. Angeona pangechimbika zaidi.

Wiki 2 nyingi. Fanya namna yoyote umuone, aone macho yako na uso wako ukimwambia directly kuwa hiyo ni past na asiipe kipaumbele. Akichomoa tuambie.

Word!!!!!
 
Mbona wanawake tumejaa!
Huyo analeta ngebe kwa kuwa anajua huna ubavu wa kumuacha.
Na ukiendelea kumchekea...atakupanda kichwani.
Sisi wanawake tunajuana bhanaaaa...

Umemaliza kila kitu madame.. in short huyu binti (Amina) kamfanya huyu kama Mariamu wake. Kwa mtu anayekupenda kwa dhati (ambaye amefall in love) haiwezekani zipite wiki 3 bila contact hata ile tu ya kujifanya anampigia simu mtu mwingine ila amekosea No. Si dhani kama huyu Amina anakupenda vile. Maana wakati wewe una Mariamu , wewe na Amina mlikuwa ni marafiki tu na licha ya hivyo hizo msg kuna tarehe zilipotumwa? sasa tatizo liko wapi? au alitaka uwe bikira?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom