Mwenzenu naangamia

Mwenzenu naangamia

Naheshimu sana mawazo yenu wadau wote wa jf.
Bado naendelea kusoma ponts zenu ili niamue cha kufanya.
 
Pole sana mkuu ama kweli kupenda kazi . Sasa huyo mdada yaelekea ana hobbie ya kususa wengi wamekushaui mengi namimi ngoja niongezee kiduchu.Huenda bado na yeye anakupenda sema ndio hivyo tena anataka kubembelezwa na ni wajibu wako kumbembeleza, kama kweli unampenda tafuta namna ya kuonana nae au uongee na ndugu yake wa karibu sababu umesema mna kama 2yrs ya relationship so lazima utakua unamjua mtu wake wa karibu kama rafiki/ndugu yake . Ukiona na hiyo imegonga mwamba basi jipe muda kama 3 months ya kukaa kimya japo ni ngumu lkn naamini unaweza ukijitaidi then after muulize tena kama je bado anakuhitaji au la..
 
Mpende akupendaye asiyekupenda achana nae....onyesha tofauti kati ya sketi na sarawili..utakuwa mtu wa kulia lia mpaka lini bro..?...wake up, let things go..start over and life goes on...BE A MAN.
 
nashukuru mkuu, nimesha mueleza ukweli woote kwenye msg. Hajajibu hata moja japo nimetuma msg nyingi sana na naendelea ktuma. Nahisi wala hazisomi coz alinipigia simu analia akanambia nisimtumie tena msg then akakata.

Kila siku nasema mwanamke ukimuonyesha unampenda utajuta atakuendesha kama gari bovu,hawa watu wanapenda kuendeshwa kibabe na kupigwa,na mambo ya kuitana itana baby mara sijui mchumba nooo,muonyeshe mapenzi yako kwake ila weka limit,baby sijui kwa siku muite mara moja au mara 2 na mchumba kama unatumia hilo neno kwa siku muite mara moja,na hamna kucheka cheka nae muda wote coz heshima inashuka na inabidi mtoto wa kiume uwe na msimamo akizingua piga makofi akili ikae sawa....

Mwanamke inabidi ukikaa nae umuweke kwenye mazingira ya kuogopa kufanya kitu fulani kwa sababu akifanya anajuwa lazima itakula kwake au atabamizwa,ukiishi hivi na mwanamke hutokuja kuona anakupanda kichwani kama huyu anavyokufanyia now...

Ok let me help u out solution ya tatizo lako kata mawasiliano for now acha usitume message na usipige simu wala usimtafute na mtumie message mwambie kwamba umemueleza hali halisi na umekiri makosa yako kwako kama amepata message na hajibu mwambie asiendelee kuangaika na hutomtafuta wala hutomtumia tena message na wala asiangaike kujibu message hata moja,then ukishatuma hiyo kaaa kama siku 3 hivi alafu mpigie simu au mtumie message na ukiona hajajibu au still hapokei ujue huyo hana mpango na wewe na wala hakupendi then mpotezee faster na tafuta mwanamke mwingine mzuri kumzidi...Simple na hivi ndio tunavyoishi na hawa wanawake...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mapenzi ni mchezo ambao kila mtu anatafuta namna ya kuwa on top of the game. Ukionesha weakness yoyote ile mapema sana ndugu yangu umekwisha atakuendesha kama gari bovu, na si anajua akinuna wewe hupumui, basi itakuwa kila analotaka akikosa ni
kununa mpaka atimiziwe. Mapenzi hayaendi hivyo.

Watanisamehe tu dada zangu, but dawa ya mwanamke ni kumwonyesha kwamaba she is something but everything in your life. Mwonyeshe kwamba bila yeye kuna maisha, kwamba muda wowote akizingua unamsahau without hesitation. Huyo mpotezee, don't call her, don't text her, usitafute rafiki zake wala ndugu zake... fanya kama hajawahi kuwepo.

Mtu akikuchemsha kwa mkaa wa miti, we mchemshe kwa makaa ya mawe
 
Nashukuru kwa ushauri wenu wadau.
Wanawake wana vituko sana. Ngoja nijipange nifanye uamuzi mgumu, maana naona dalili mbaya.
Kupenda kwa dhati nako kuna madhara yake. Nimechelewa kuoa kwasababu uhusiano wangu wa kwanza ulivunjika kwa mambo yasoeleweka shauri ya vitimbi vya wanawake. Niliumia sana, Ilinichukua miaka miwili kuanza kufikiria tena suala la mahusiano. Sikubali kurudia kosa.

Na kuoa umechelewa!!!!...msubirie Amina wako atakuja tuu.......kama wanao hawajakuita babu....
 
Kusema ukweli japo si wote lakini wanawake husababisha sana wanaume kua na mpnz zaidi ya mmoja kwa maringo yao!msichana akijijua kua yuko peke yake huringa mno!fanya hivi kama kweli unampenda kwa dhati tafuta msichana mmoja mrembo sana halafu pita nae na akikisha amekuona asipojirudi hakupendi!
 
Ndg yangu fanya makosa yote Duniani ila usifanye Kosa katika Kuoa, angalia usije ukajutia maisha yako yoote, maaana Mwanamke asiyetaka suluhu kwa Mambo madogo kama Hayo , ukimwoa atakusumbua haswa, aangalia sana ndg yangu

Kwel kabisa! Hata kama tunapenda ni vizur kuangalia je anafaa na kuvumilika? Nahc hata kama amina atarudi kwako na mkafunga ndoa ila hiyo ndoa itakuwa kila siku unapiga magoti kuomba msamaha.
 
Give her space labda.
Usimuandikie msg nyingi, labda moja kwa siku then apate muda wa kufanya analysis kama anaweza kuendelea ama la.
Muda mwingi wa hali kama hiyo anakua anakusikilizia tu unavyohangaika na unakuta atarudi ila, 'women think its kind of fun watching u do that".
 
Pole mkuu Jakamoyo jifunze kuwa na subira na kujipa likizo katika mahusiano. Uzoefu unaonesha kuna wanaume au wanawake wana wapenzi zaidi ya mmoja sio kwa sababu si waaminifu ila issue ni kwamba unambembeleza unayempenda kwa muda fulani hakuelewi hadi unaamua ku give up, siku ukianzisha mahusiano na mwanamke mwengine ata kama wa mwanzo hajui unakuta huyo wa mwanzo anarudi na kutaka muondoe tofauti zenu.
 
Hii ni exactly kama iliyonitokea mimi. Hapo ndugu kama huyo Amina anakupenda kweli atarudi tu otherwise ana kipoozeo kingine.

Mimi wife aliwaka na kung'aka. Alivua mpaka pete ya uchumba. Ilibidi kusuluhishwa na mama yake. Ila tangu siku hiyo napekua kila siku kwenye back ups zangu maana kuna mengine hakuona. Angeona pangechimbika zaidi.

Wiki 2 nyingi. Fanya namna yoyote umuone, aone macho yako na uso wako ukimwambia directly kuwa hiyo ni past na asiipe kipaumbele. Akichomoa tuambie.
 
Pole mkuu Jakamoyo jifunze kuwa na subira na kujipa likizo katika mahusiano. Uzoefu unaonesha kuna wanaume au wanawake wana wapenzi zaidi ya mmoja sio kwa sababu si waaminifu ila issue ni kwamba unambembeleza unayempenda kwa muda fulani hakuelewi hadi unaamua ku give up, siku ukianzisha mahusiano na mwanamke mwengine ata kama wa mwanzo hajui unakuta huyo wa mwanzo anarudi na kutaka muondoe tofauti zenu.

Naunga mkono hoja hii 100%
 
Umeona eeh! Amina anatikisa kiberiti aone kama kimejaa au kiko nusu, na kwa kumbembeleza kote huko tayari ameshaona kiberiti kiko nusu, atakuendesha huyo hadi utashangaa, mwache usihangaike kumsms wala kumpigia simu kama kweli anakupenda atakuja mwenyewe, asiporudi mpotezee piga hodi kwa Mariamu, kwani nini bana, yeye ndo mwanamke peke yake?
Mbona wanawake tumejaa!
Huyo analeta ngebe kwa kuwa anajua huna ubavu wa kumuacha.
Na ukiendelea kumchekea...atakupanda kichwani.
Sisi wanawake tunajuana bhanaaaa...
 
Inawekana pia umeoa mke wa pepo. Tunawaita spiritual husbands. Huyu anapigwa upako pepo huyo anaondoka chap. Usimchukie mkeo bure. Ondoa huyo pepo.
Nenda mahali penye maimbi nae mshuhulikie huyo pepo. Hatuulizi dini yako.
 
Ebu jaribu kujitahidi kuopiga simu wala msg hata for a week umuone. Kama upo moyoni mwake hatavumilia kutosikia lolota kutoka kwako.
Moyo ukipenda hauna uvumilivu kwenye ukimya kama wewe unavyotapa kwa sasa.
Jitahidi utajua kama ni wako au la.
 
Mbona wanawake tumejaa!
Huyo analeta ngebe kwa kuwa anajua huna ubavu wa kumuacha.
Na ukiendelea kumchekea...atakupanda kichwani.
Sisi wanawake tunajuana bhanaaaa...

mwalimu wangu Madame B umemaliza kila kitu.....huyu alikuwa anatafuta sababu tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom