Mwenzenu naangamia

Mwenzenu naangamia

Peleka posa kwa Mariam na tangaza mipango ya harusi. Mwanamke mwenye wivu ni sumu ya panya. Uzuri si hoja moyo ndo zaidi
 
Pole sana! Kwanza kili kosa! Mwambie ukweli kama anania atarudi tuh! Hasiporud ujue alikuwa anatafta sababu!

nashukuru mkuu, nimesha mueleza ukweli woote kwenye msg. Hajajibu hata moja japo nimetuma msg nyingi sana na naendelea ktuma. Nahisi wala hazisomi coz alinipigia simu analia akanambia nisimtumie tena msg then akakata.
 
Peleka posa kwa Mariam na tangaza mipango ya harusi. Mwanamke mwenye wivu ni sumu ya panya. Uzuri si hoja moyo ndo zaidi

Ni ngumu sana kufanya hivyo kwasababu kwanza bado nampenda Amina, pili tumeshafanya mengi sana mpaka hapa coz ni mwaka wa pili huu tuko pamoja. Tatu, mariam nilishakata mawasiliano nae siku nyingi na hatakama tungekuwa tunawasialiana, ukweli sikuwa na mapenzi ya kweli nae coz hakuwa na vingi nilivyokuwa navihitaji. Nilijikuta nakuwa nae karibu kwasababu she was the only option baada ya Amina kunikataa.
 
pole sana mkuu,nenda kwa mariamu mueleze ukweli wa kilichotokea na kilichosababisha yatokee,akiwa tayari kuwa nawe endelea nae na funga nae pingu maisha yasonge,huyo amina alikukimbia wewe ukaenda kwa mariam baadae akarudi wewe ukamuelewa sasa anashindwaje kukuelewa kwa sasa wakati yeye ndio chanzo cha yote?
 
Utoto huo..sasa wewe ndoa utaiweza kweli....wewe mwanaume..man up
 
Ulifanya kosa kubwa kutofunguka vyote pale ulipopata nafasi.. Sababu ulioitoa kwamba uliogopa kumuumiza haina mashiko kwa kuwa hukuwa na mahusiano nae mwanzo (alikukataa so ulikuwa free kudate).. Kwa hiyo ungemueleza wazi bila ya kuficha kitu..

Ushauri wangu kama hizo msg zinaonyesha tarehe na kama ni kweli mawasiliano hayo yalikuwa kipindi ambacho hukuwa nae karibu basi jaribu kumuelewesha kwanza kwa kumuambia ukweli na kisha kuzichambua tarehe ili aone ukweli wako..
 
Mbona wanawake tumejaa!
Huyo analeta ngebe kwa kuwa anajua huna ubavu wa kumuacha.
Na ukiendelea kumchekea...atakupanda kichwani.
Sisi wanawake tunajuana bhanaaaa...

Madame B kweli wanawake ni wengi na wanavitimbi sana hasa wakijua wanapendwa kweli.
Tatizo sio rahisi kumuacha mtu ambae bado unampenda na ukiangalia mmetoka mbali na mmeshafanya mengi.
Kwa ninavyo jijua, itanichukua si chini ya miaka miwili kumpata mwingine atakae niridhisha. Najijua complication zangu katika kujenga mahusiano na mtu, ndomana naomba msaada nisimpoteze huyu.
 
nikweli mkuu, nilifanya makosa mwanzoni. tarehe, saa na dakika zipo. nimejaribu kumuelewesha ila tatizo haniamini kwakua mara ya kwanza sikusema ukweli.
 
Ww hutujui wanawake eeh!?
Ss mpotezee uone km hatakuja mwenyewe!!,?
Kaa kimya au mwambie umeahirisha hilo zoezi uone! !! Akikubali ujue alikuwa anakutafutia sababu

Hapo kinachompa kiburi coz ushamtambulisha.hajui kuna watu wanaachwa wamezalishwa sembuse yy kutambulishwa?!!!!

Yaan ungekuwa kakaangu ningechukua hyo nafasi, mtu kashaambiwa ukweli anataka nn?!!!
 
nashukuru mkuu, nimesha mueleza ukweli woote kwenye msg. Hajajibu hata moja japo nimetuma msg nyingi sana na naendelea ktuma. Nahisi wala hazisomi coz alinipigia simu analia akanambia nisimtumie tena msg then akakata.

Haya
Ss ndo nn?!!!
Au bado mdogo sn?
 
Mtafute ndg wa krb kwake mkae meza moja mshauri na uombe msamaha
 
mkuu nimekuelewa sana sasa fuata huu ushauri....!
mwanamke anapojua kuwa kapendwa kweli huwa anadeka na kuringa sana na anaweza kununia hata bila sababu ukichelewa kupokea cm tayari kosa!, yalishanikuta nilichokifanya nilikata mawasiliano na nikaapa ndani ya miezi miwili asiponipigia simu basi nampelekea kadi ya harusi ya msichana mwingine....!!!
mbona wiki mbili tu mtoto kaenda hewani......
 
Mbona wanawake tumejaa!
Huyo analeta ngebe kwa kuwa anajua huna ubavu wa kumuacha.
Na ukiendelea kumchekea...atakupanda kichwani.
Sisi wanawake tunajuana bhanaaaa...

wakongo wanasemaga hivi,uko yuu
 
Nashukuru kwa ushauri wenu wadau.
Wanawake wana vituko sana. Ngoja nijipange nifanye uamuzi mgumu, maana naona dalili mbaya.
Kupenda kwa dhati nako kuna madhara yake. Nimechelewa kuoa kwasababu uhusiano wangu wa kwanza ulivunjika kwa mambo yasoeleweka shauri ya vitimbi vya wanawake. Niliumia sana, Ilinichukua miaka miwili kuanza kufikiria tena suala la mahusiano. Sikubali kurudia kosa.
 
Madame B kweli wanawake ni wengi na wanavitimbi sana hasa wakijua wanapendwa kweli.
Tatizo sio rahisi kumuacha mtu ambae bado unampenda na ukiangalia mmetoka mbali na mmeshafanya mengi.
Kwa ninavyo jijua, itanichukua si chini ya miaka miwili kumpata mwingine atakae niridhisha. Najijua complication zangu katika kujenga mahusiano na mtu, ndomana naomba msaada nisimpoteze huyu.

Haya kaka.
Ila mtamkie wazi kuwa humtaki uone kama hajaja kukupigia misele.
 
Back
Top Bottom