Heee Da Sophy anaexpect hongera mwaya. naomba nipropose jina la mtoto akizaliwa please please please angalau lianzie na herufi gani.
Alaa ndo manake hiyo we huoni akimuomba mke mwenzia amvumilie tu mpaka akishusha mzigo! Da ila we da Sophy kiboko! U call a spade as spade not big spoon!
Asante mwaya, yani wengine mmenipa kampani sana nimesoma hapa hadi nimefurahi. Sijali wanaoponda. Nimetafuta zile nilizoandika mara ya mwanzo humu sijaziona sijui huwa zinafutwa?waoooooooooooooooooooo da sophy huyooooo...
tulikumiss mwanawane...
Na tunabanana hapahapa. Yaani nimetamani sana mapacha ili tutoke droo kwanza, lakini haijawa, dokta kaniambia yuko mmoja tu. Lakini nimedhamiria wawili wa fastafasta maana umri hausubiri. Yaani itakuwa kata mti panda mtida sophy we kiboko! hivi huyo mke wa mwanaume wa mtu yupo hapa jf? haya hongera mwaya!
Huyo 'mke wa ndoa' yuko nyumbani basi? Na hizo semina na kongamano amwachie nani? Yaani bidada ni kiguu na njia semina semina semina, halafu hata havai akapendeza basi huko sijui hizo pesa huwa anapeleka wapi nina uhakika hahongi hata wanaume maana mvuto ziro yani hata yule hausiboi wao na umaskini wake hatakubali hata amhonge milioni. Tulia bidadaKimey nilishangaa naona FL anamuambia amwambie achukue likizo hasa ..................sasa hii leave of absence aiombe kwa mke wa ndoa akisema kuwa anaenda kukaa kwa kimada au?
kweli dunia hadaa!
Na kwa Inda tu na Tashtiti lazima Da Sophie azae jina la baba wa mume ......................halo haloooo
( na hilo jina lazima iwe mke wa ndoa alikataa na kusema limepitwa na wakati) :lol:
Mungu huyo ndiye aliyenijaalia na ndiye ninayemwomba azidi kunijaalia mtoto azaliwe salama. Hukumu ni kwa huyo aliyejitia ugumba wa kujitakia kumpangia Mungu kuwa watoto wawili wanatosha.muogope mungu dada angu,wewe!!!!!!!!!!,sisi sio mahakimu ila Mungu pekee ndio atakeyehukumu.
HAa kumbe Babu umekuwa shpirini? sikujua ati
Shkang Babu yangu.
Hahahahha kule kuna dagaa babu samaki ni ziwani au baharini.
Da Sophy............. mlikubaliana na huyo ba mtoto au ndo katika harakati zako za kumchinjia baharini bi mkubwa??
Jamani nawashukuru wote mlionipa maneno ya kunipa moyo. Na hao wenye maneno mabaya waelewe kuwa Mungu ndiye mpaji na kanijaalia alivyonijaalia kwa upendo wake, na kwa qudrat zake Mola nitakipata ninachosubiria inshaallah.
Kama mwenzangu umejitakia ugumba mwenyewe ili upate nafasi ya kuhudhuria hizo semina na conference, uchoyo tu ati sijui unaogopa kuzeeka, mbona bado waonekana kikongwe sana tu licha ya kujibania uzazi? Kumbe ndio kisomo hicho? Wewe umeona watoto 2 wanatosha lakini yeye kaona wanae wanahitaji mdogo wao. Wewe ni nani hadi umzuie? Na zaidi ya hapo mimi pia nahitaji mtoto wangu na huwezi kunizuia wala kunipangia habari ndiyo hiyo kama mwenyewe anaogopa kukujuza ndo nakujuza sasa.

Kumbe je? Palepale shosty nina msimamo ati
Jina la mtoto lipo tayari, kama wa kike jina la mama mkwe, na kama wa kiume la baba mkwe. Mwenzangu kule kaleta 'usomi' kagoma wanawe wasipewe hayo majina sijui anaogopa nini, kama mchawi yeye mwenyewe na usomi wake, hukohuko alikosomea digrii zake wazungu wanatabiri mechi kwa kutumia pweza anakuja huku na za kuleta mtoto wa kike na kibanapua ati ng'o ng'o ng'o ng'o majina ya mababu hayafai sijui nini, mimi nasema nitamfurahisha baba mtoto laaziz wangu ajisikie mara hii kazaa kweli.
Anivumilie mwenzangu loh! Wajua siku zote kabla ya hii nilikuwa namwonea imani mwenzangu namwambia bwana hebu nenda kwa mkeo lakini sasa hivi hapana uzalendo umenishinda.
Asante mwaya, yani wengine mmenipa kampani sana nimesoma hapa hadi nimefurahi. Sijali wanaoponda. Nimetafuta zile nilizoandika mara ya mwanzo humu sijaziona sijui huwa zinafutwa?
Na tunabanana hapahapa. Yaani nimetamani sana mapacha ili tutoke droo kwanza, lakini haijawa, dokta kaniambia yuko mmoja tu. Lakini nimedhamiria wawili wa fastafasta maana umri hausubiri. Yaani itakuwa kata mti panda mti
Huyo 'mke wa ndoa' yuko nyumbani basi? Na hizo semina na kongamano amwachie nani? Yaani bidada ni kiguu na njia semina semina semina, halafu hata havai akapendeza basi huko sijui hizo pesa huwa anapeleka wapi nina uhakika hahongi hata wanaume maana mvuto ziro yani hata yule hausiboi wao na umaskini wake hatakubali hata amhonge milioni. Tulia bidada
Heh! Umejuaje? Ni kweli kabisa! Au mwafahamiana?
Mungu huyo ndiye aliyenijaalia na ndiye ninayemwomba azidi kunijaalia mtoto azaliwe salama. Hukumu ni kwa huyo aliyejitia ugumba wa kujitakia kumpangia Mungu kuwa watoto wawili wanatosha.
Makubaliano 100% wala usitie shaka
jamani huyu da sophy huyu? usiache kutujuza shost nn mwisho wa malumbano haya ya mume wa mtu! sasa mbona huyu mke hajibu kitu basi walau tuone the other side of the story maana hapa twaona upande wako tu!
Shkamoo mwalimu Gaijini. Samahani leo nimeisahau TUKI yangu, msaada hapo kwenye red tafadhali! LOL!Asprin nakuona una shadidia 'thank you' ya First Lady! hahaahha
Unataka ajibuje zaidi ya hivi?
The Following User Says Thank You to Da Sophy For This Useful Post:FirstLady1 (21st July 2010)
Jina la mtoto lipo tayari, kama wa kike jina la mama mkwe, na kama wa kiume la baba mkwe. Mwenzangu kule kaleta 'usomi' kagoma wanawe wasipewe hayo majina sijui anaogopa nini, kama mchawi yeye mwenyewe na usomi wake, hukohuko alikosomea digrii zake wazungu wanatabiri mechi kwa kutumia pweza anakuja huku na za kuleta mtoto wa kike na kibanapua ati ng'o ng'o ng'o ng'o majina ya mababu hayafai sijui nini, mimi nasema nitamfurahisha baba mtoto laaziz wangu ajisikie mara hii kazaa kweli.
The Following User Says Thank You to Da Sophy For This Useful Post:
FirstLady1 (21st July 2010)
:violin::violin::violin::ballchain::ballchain::ballchain::focus::focus::focus:
Kumbe na wewe yalishakukumba? Pole sana. Sasa unasubiri nini kulipiza kisasi? Soma katikati ya mistari hapo!nilitaka nae accoment thank you to haitoshi! natamani kumwona huyu da sophy sana maana maneno kama ex da sophy wangu !
HahahahahaHommie, si umeona liyuzifuli sredi kama hili linakula senksi 1 tu? Unajua hawa kina mama wana mbinu zao za kuambizana kuwa "ujumbe umefika"! Now...:focus:Hommie naona umeconnect dots then uka soma btn the lines!! ha hahahaa
Hommie naona umeconnect dots then uka soma btn the lines!! ha hahahaa