Mwenza wangu kaomba nimkopeshe hela

Mwenza wangu kaomba nimkopeshe hela

Kuna msichana niko nae kwenye mahusiano kwa muda sasa.

Kawaida yake huwa haniombi pesa sana,ni mpambanaji sana japo biashara zake ni ndogo ndogo.

Juzi kaniomba 20000 nimkope atanirudishia ndani ya wiki moja.

Nawaza sijui nimpe au nisimpe maana kumdai demu wako ni tabu sana halafu tena nisimdai naona 20 yangu itapotea bure

NB; mi so mtu wa kuhonga ovyo na mgumu sana kutoa hela kwa mtu yeyote yule hata awe ndugu angu.
Kama huyo mwanamke wako umeshawahi kula mzigo toka kwake basi wee mpee tuu
Sio mbaya hata elfu mpe kiroho safi......

Lakini kama haujawahi kupewa wala kula mzigo nakushauli usitoee kitu huo ni uboya
 
Huyo mwingne
 
1 mwanaume anayekupenda anakupa hela ya matumizi na wewe unaona aibu unamnunulia kitu kizuri .
Usiku unampa vizuri kama leo wengine wanaishi na wenzi wao hawajaolewa ila wanapendwa na wanaume zao.

2. Elfu ishirini ni hela ya kuchambia halafu wewe unajishaua eti humpi.
20 elfu chai unamla tu kila siku nyie ndio mamafia wabaya.
Hata akipata mimba unamwambia atoe au alee mwenyewe nyie ndio wanaume wale ambao maishani kuoa ni ngumu.

3.hivi wewe wenzako wanatoa laki mbili mtu atumie siku tatu.
Na bado anatumiwa nyingine.
Wewe nawe eti unajiita kidume walahi kidume sijamwona hapa .
Wewe ni mwanaume Suruali tu na Tapeli kapige nyeto .
Hapa mjini ni hela kama huna ishi mwenyewe licha hela za kuchambia loh huna haya.
Naombaga nisipate makafiri kama wewe duniani.
 
Nipe no yake nimpe laki ya matumuzi bure
Kuna msichana niko nae kwenye mahusiano kwa muda sasa.

Kawaida yake huwa haniombi pesa sana,ni mpambanaji sana japo biashara zake ni ndogo ndogo.

Juzi kaniomba 20000 nimkope atanirudishia ndani ya wiki moja.

Nawaza sijui nimpe au nisimpe maana kumdai demu wako ni tabu sana halafu tena nisimdai naona 20 yangu itapotea bure

NB; mi so mtu wa kuhonga ovyo na mgumu sana kutoa hela kwa mtu yeyote yule hata awe ndugu angu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom