Mwenza wangu kaomba nimkopeshe hela

Mwenza wangu kaomba nimkopeshe hela

sukariyawarembo

Senior Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
167
Reaction score
117
Kuna msichana niko nae kwenye mahusiano kwa muda sasa.

Kawaida yake huwa haniombi pesa sana,ni mpambanaji sana japo biashara zake ni ndogo ndogo.

Juzi kaniomba 20000 nimkope atanirudishia ndani ya wiki moja.

Nawaza sijui nimpe au nisimpe maana kumdai demu wako ni tabu sana halafu tena nisimdai naona 20 yangu itapotea bure

NB; mi so mtu wa kuhonga ovyo na mgumu sana kutoa hela kwa mtu yeyote yule hata awe ndugu angu.
 
Mgumu kutoa hela ila papuchi zao unataka mkuu hadi unajisifu kuwa ni demu uko nae kwenye mahusiano muda sana.

Unajua vitu vingine hata sio sifa. mwanaume ambae anajisifu hampi mpenzi wake matunzo/hela ana walakini. Mwanaume mjanja anakuwa na mpenzi alafu anamjali ile mbaya!!

Anyways, komaa tu mkuu kibaharia usimpe hela wala nini. Kuwaita wanawake wazuri mashemeji sio mbaya pia
 
Kuna msichana niko nae kwenye mahusiano kwa muda sasa.

Kawaida yake huwa haniombi pesa sana,ni mpambanaji sana japo biashara zake ni ndogo ndogo.

Juzi kaniomba 20000 nimkope atanirudishia ndani ya wiki moja.

Nawaza sijui nimpe au nisimpe maana kumdai demu wako ni tabu sana halafu tena nisimdai naona 20 yangu itapotea bure

NB; mi so mtu wa kuhonga ovyo na mgumu sana kutoa hela kwa mtu yeyote yule hata awe ndugu angu.
Mahusiano ya kimasikini kama hayo imagine 20,000 eti namkopa.......wanawake epukeni wanaumme lumpens na peasants hata kama ni mapezi ila hapana
 
Yani mtu wako kutoa 20 tu unajishauri nskuja kuanika huku??
 
20,000/- unailetea Uzi mkuu!!??

Jana nimetoka kumuazima mke wangu laki 3 ameniahidi atanilipa December 2019. Sikuwa na kinyongo nimetoa kiroho safi najua haitorudishwa ila nitaipata kwa njia nyingine.

Akishakuwa mwenzio sio kila shida yake unaitangaza kama amekwama msaidie kama huna sema sina kuliko kutafuta sababu zisizo na mashiko.

Nimemaliza.
 
Dah mwanangu unatuaibisha wanaume wenzio, yani hela ya vocha hyo unakuja kuomba ushauri? Nampa pole huyo mwanamke wako aisee, wenzio kila tukionana na wapenzi wetu tunaacha 50k kwenda juu ya nauli tu
 
Daah!

Mmenitukana eeh,,
Mnaopigwa mizinga hamna akili,,utampaje mwanamke hela ,akapambane na hali yake huko,,bora nmpe ata shangazi.

Hela simpi na papuchi nachakata mda wowote nikitaka.cha msingi napata papuch tu.

Dadek zenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom