Alikuwa anaweweseka kivipi?Maana kuna siku nilimuona kama anaweweseka kitandani niliponyanyuka akashtuka sana.
Naomba maoni yenu kiutuuzima bila kejeli tafadhali.
Ana pepo chafu huyoHabari wakuu,
Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa.
Umeandika jambo la msingi sana japo wengine wanaleta mizaha,lkn kwa wengi tulio ktk ndoa hili ni la kawaida sana...nadhani pia kwa kiasi kikubwa limechangia wanaume wengi kuchepuka japo si woteHabari wakuu,
Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa...
Sasa ndugu yangu si ya mkewe hiyo! [emoji16][emoji16][emoji16]Unalilia mbunye wanaume wa Dar bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
Umenena Vizur kabisa, yani mule muleWanawake wakiolewa huwa wana tabia ya kuridhika na kuacha kutimiza mambo muhimu kama hayo.
Pili wanawake huwa wanakosa hisia ikiwa huwatimizi mahitaji yso..je hili likoje?.
Tatu ikiwa umeyimba kiuchumi pia huwa wanatabia kama hiyo...muda mwingi wanawaza na kuwa na stress.
Kaa naye mweleze unavyojisikia...na umuonye kuwa tabia hiyo ikiendelea itakulazimu utafute mwanamke mwingine.
Point sana, big upUmeandika jambo la msingi sana japo wengine wanaleta mizaha,lkn kwa wengi tulio ktk ndoa hili ni la kawaida sana...nadhani pia kwa kiasi kikubwa limechangia wanaume wengi kuchepuka japo...
Hayo ni maumbile yake. Kama dini yako inaruhusu oa mke mwingine,la sivyo tafuta mchepuko kupunguza mfadhaiko. Kweli inakera kumla mtu ambaye hajisikii kuliwa ni sawa na kumbaka tu na pia hata wewe mwenyewe huwezi kupata ile satisfaction inayotakiwa. Nimeyapitia hayo.Habari wakuu,
Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa.
Ushauri wa bure: ili mwanaume uishi kwa amani na furaha kwenye ndoa ni vyema ukawa na michepuko miwili visu kweli kweli alafu hakikisha mkeo anawajua hao michepuko na pia anatambua kuwa yeye ndio number one priority basi.Habari wakuu,
Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa.
Miezi kadhaa baada ya kuoana alipata ujauzito na tabia hii ndipo nilipoanza kuiona nikajua labda kwasababu ya ujauzito. Alipojifungua na kupumzika mambo ni yale yale, hatufanyi hadi nianze mimi na kuna wakati namuomba anasema hayuko vizuri siku hiyo inapita kavu.
Nimewahi kumuuliza kwanini hajisikii, hana jibu zaidi ya kujibaraguza tu na kuacha lipite. Mwanzo wa ndoa aliwahi kuanzisha kuomba game nadhani alikuwa anatimiza funzo la somo ila kwa sasa daah!... Yani nikikaa kimya mimi hata mwezi unaisha bila kufanya lolote.
Kuna wakati nahisi kama nambaka maana naomba omba kila wakati alafu mwenzangu hana muitikio. Hapa naandika uzi huu amejilaza mwenyewe hana habari wakati tangu jumapili niliomba mchezo akanambia yupo kwenye siku zake hadi leo hata hashtuki kwamba naweza kupata tamaa ya kuchepuka.
Najiuliza ndivyo alivyoumbwa, anachepuka, ana jini mahaba au anajichua? Maana kuna siku nilimuona kama anaweweseka kitandani niliponyanyuka akashtuka sana.
Naomba maoni yenu kiutuuzima bila kejeli tafadhali.
Ujinga gani sasa kaandika??mtu anaomba ushauri we unasema anandika ujinga....we ndio mjinga...Sasa hii id nikiona inacomment kwenye post za watu wenye ushababi wao.. ntaona kama mbu anapita kwenye sikio tu.
Ntu Nzima unaandika ujinga Ntupu...