Mwenza kilaza.

Maelezo murua kabisa hayo!
 
Kilaza ana uwezo wa kutafta pesa na akajitegemea kifedha yaan both side me and ke?
 
Unc usikute ulikuwa unampa conspiracy theories za MAGA Republicans halafu akizikataa unamuona huyu kilaza tu.

Yani zile za "They stole that election from Donald Trump, Fox News gets it" 😂😂😂
 
Kwanza nakubaliana na wewe. Kwenye uhusiano haya mambo hutokea mara nyingi tu. Uzoefu wangu: mwenza kilaza ni mzigo na huta-enjoy uhusiano hasa mnapokuwa mnafanya conversation za mambo mbali mbali. Na kuna hili jingine... anaweza kukutia aibu muda wowote hasa mnapokuwa na watu wengine kwenye maongezi. Mimi niliwahi kuwa na wangu. Kwanza alikuwa ni darasa la saba japo alikuwa amenificha na kudanganya ni fomu 4. (najua elimu siyo kigezo pekee na kuna wasio na elimu wako vizuri , lakini elimu inasadia). Pili na lililo baya zaidi alikuwa ''hajui kama hajui'' na ni mbishi. Mnaweza kuongea jambo la kitaalam kabisa yeye anabisha kwa kutumia upeo wake, na ukiwa na marafiki utaomba ardhi ikumeze. Na mwisho alikuwa na ''akili kibatari''.... yaani upepo unakoelekea ndiyo anakoelekea yeye hata kama kuna upotofu.
 
Kwakweli ni heri mwanamke awe kilaza ila si mwanaume, kwa muktadha wa mwanaume ni kiongozi.....
 
Hao wasiojua kuwa hawajui ndo balaa!

Maana hata kuwasaidia sijui mtu utaanzia wqpi 🤷.
 
Kwenye huu uzi kila mchangiaji ana point fingers kwa wengine kwamba ndiyo vilaza, ila uhalisia ni kwamba kila mmoja ni kilaza tunatofautiana extent tu ya ukilaza.
Mbona kama vile unachanganya madesa?

Nadhani kinachokubalika na wengi kuwa kila mtu anacho ni ujinga.

Kila mtu ni mjinga kwenye mambo tofauti tofauti.

Kuna tofauti kubwa kati ya ujinga na upumbavu.

Ukilaza nadhani ndo upumbavu wenyewe.
 
Mpaka leo hii sijajutia kumtosa na wala hata simkumbuki kabisa.

Nyie mnaonaje, nilikosea kumtosa?

Na nyie mshawahi kuwa na wenza vilaza?
Ni wabishi na wajuaji sana halafu wanapenda hela km walizaliwa nazo makalio ndio mtaji wao utawaona wanapiga picha kuonyesha makalio yao yalivyo anajilengesha kwenye kioo katunisha makalio anajipiga picha mwenyewe au anashika simu km yupo kwenye kioo anamuomba mtu mwingine ampige picha huku anabinua makalio hio ndio signature ya mwanamke kilaza alivyo ukiona tu hivyo jua huyo ndio mwanamke kilaza kabla hujaongea nae aameshakuonyesha upumbavu wake ulivyo
 
Kabla sijaoa nilikuwa nauliza maswali mengi sana kuhusu ndoa Kwa watu walionizidi umri.Moja kati ya ushauri mwingi niliopewa ni jitahidi sana kuoa mwanamke ambaye uelewa wako na yeye mnakaribiana au mko sawa ili hata kama Kuna jambo mnajadili angalau mkutane sehemu.Kwa kigezo cha shule nacho nilikipa umuhimu .Kwa sababu hakuna adhabu ngumu kama kuishi Kwa kumvumilia kilaza.
 
Umemimiss mpaka imewaandikia uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…