Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,057
Nina rafiki uyo yaani kila likitokea dili la pesa ananichomeka tunapiga wote pesa
Wapo Mzee baba mi Nina marafiki wa3 hao wananisaidia mda wowote na wakisema hawana kweli hawana tena mmoja ni RAIA Wa Mali tulikutana shuleniDah! Watu wa hivi bado wapo karne hii, hilli toleo la marafiki wa aina hii siku hizi hakuna.
Pole sana, kwa yaliyokukuta marafiki wa kweli wapo!Kipindi napiga gambe nilikuwa tajiri wa marafiki kwa sababu ya ofa zangu , ila baada ya kuacha gambe marafiki wote wamenikimbia na nilikuja kuona kuwa sina rafiki wa karibu nilipopata ajali kwani familia yangu tu ndio iliyohangaika na uzima wangu mpaka niliposimama tena..
Leo anakuja mtu from nowhere analalamika shida eti sina kodi ya nyumba nisaidie rafiki yangu, huwa sijibu chochote nakausha tu maana hata mimi nina nyongo...........
Marafiki zangu kwa sasa ni familia yangu na ndugu zangu tuliozaliwa tumbo moja tu wengine watanisamehe kwa kweli.