Mwenyezi Mungu awabariki marafiki kama hawa.

Mwenyezi Mungu awabariki marafiki kama hawa.

Rafiki wa kweli hapa duniani ni
1. Mke/mume
2. Mtoto wa kumzaa/wazazi
3. Ndugu wa kuzaliwa tumbo moja
4. Number 1 mpaka 3
5. Namber 1 mpaka 3
6. Namba 1 mpaka tatu
7. Namba moja mpaka tatu
Vinginevyo utalia na kusaga meno.........
 
Aiseeee. Huo ndio urafiki japokuwa unaweza fanyika kwa njia nyingine pia na si kwa kuuza simu Pekeee.

Wabarikiwe wote marafiki wa kweli na wazidi kuendelea kuwepo pia tuzidi kushikana kila uchwao pasi kuchokana kwa kuchukulia jambo uzito pindi tupatapo matatizo.
Aaamiiin
 
Ukweli mtupu bro,,ukipata shida ndo utalijua hili,hata watotot wa mjomba,shangazi sijui nani wanakua karibu kwa pretends
 
Noted
 
Ukweli mtupu bro,,ukipata shida ndo utalijua hili,hata watotot wa mjomba,shangazi sijui nani wanakua karibu kwa pretends
Tuko na concrete evidence kuhusu hilo. Ukishaita baba MDOGO au mama MDOGO au mtoto wa MJOMBA ni nje. Ita wife. Son. Kaka. Mama bila kuongeza kitu. Huyo ndiyo ndugu yako
 
Kuna rafiki yangu nilikuwa na shida wakati fulani,nikamwomba nauli niende huko kutatua matatizo yang,akaniambia ngoja kwanza ampigie simu demu wake aongee nae ili apange matumizi kwanza...nikamsubiri,wanaongea kwenye simu dk zaid ya 30,huku ninachelewa,nikaamua kuondoka,kufika mbele nikampigia mdada mmoja rafiki yang akaniambia usiwe na shida akanitumia two times ya ile pesa....hili tukio lilinofundisha aina ya marafiki nilionao
 
JF imejaa watu wema. Mungu awabariki sana
 
Mitihani, dhiki na misukosuko ya kimaisha ndivyo huchambua rafiki wa kweli na yule mzugaji. Ktk mapito hayo ya kimaisha rafiki wa kweli atapambana kukusaidia, wakati yule rafiki mzugaji yeye atakuacha solemba au ataifanya shida yako kuwa fursa kwako.
friend.jpg
 
Back
Top Bottom