figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,559
- 62,122
teh teh teh na ubaunsa wote lakini anategemea mawe mwili mkubwa bure
hahahaha......hiii kweli noma, usiombe sasa balaa lile kwa refarii, utakuta refarii anachezesha mpira ukifika mwisho anaelekea upande wa nyumba ilio karibu then akimaliza tu ni mbio mpaka ndani......hahahahha
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]" Kocha wa Taswa Fc, Ally Mkongwe, akiwa nje ya uwanja wakati akitoa maelekezo kwa wachezaji watimu yake huku akijihami na silaha ya mawe,ni baada ya mchezo huo 'kunuka' yaani kuharibiwa na mchezaji Nsa Job na kusababishavurugu. .[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
mia
mpira wa kibongo ni zaidi ya burudani
Hivi Mkuu Mfigganigga,mia inamaana gani maana kila umalizapo unamalizia na MIA.
kayapata nje ya uwanja, hapo kwenye majani aliposimama.na sijui kayapata wapi haya mawe. uwanjani panakuwa na mawe?