Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Kwa kawaida,mtu au kiongozi utakaye kusimamia jambo jema na uonalo linafaa kuwa ni bora ukawa ww ndiye mfano.
Rais wangu na m/kiti pia wa chama chetu nakuomba na kukushauli pia hata ww unapaswa kuachia ngazi MOJA ili uwe mfano mwema kwa unaowaongoza.
Bila kufanya hivyo hakika maana nzima ya dhamila njema kuhusu jambo hilo itakuwa haina maana kwalo.Italeta ukakasi pia kwa wanachama.Kwa sababu atakaye jambo hilo liwe yeye mbona anazo kofia mbili?!
Hujachelewa kiongozi wangu kuwa mfano.Binafsi nashauli ili ww uwe mfano yakupasa pia uachane na ama uenyekiti wa chama au uachane na .......!
Nakutakia uamuzi mwema.