Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

Yaani kujitoa CCM unaenda kutangazia hotelin, unalipia conference pamoja na refreshment. huyu bora ameondoka mapema haendani na kasi ya Magufuli. Magufuli kafanya mkutano mkubwa na wafanyabiashara wakubwa hapa nchini kafanyia ikulu. aende tu huko kwa mafisadi wenzie

hata c yenyewe haiendani na kasi ya makufuli....
 
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania CCM Arusha (Vicky Mollel) ajiunga Chadema Leo Katika ukumbi wa Safari Hotel, hii inafanya CCM Arusha kubaki ofisi tu na wanaowanunuanua..

Tatizo ukabila na ukanda ,shenz sana hawa peaple ,nawachukia mpka basi......😨😨😨
 
Mbona mapovu yanakutoka kama wewe huna ujinga? Kumbuka kuwa

(a) Katika sheria ya wizi: mwizi wa shilingi moja na mwizi wa shillingi trilioni moja wote ni wezi na wanastahili adhabu. Adhabu zinaweza kutofautiana lakini wote wanastahili adhabu.

(b) Serikali inaposhughulika na wahalifu, huwa haiwashughulikii wote kwa pamoja, kila mhalifu ana siku yake. Ya huyo mama (kama kweli na yeye ni mmoja wao) haijafika na vile vile ya Home shopping CDenter nayo haijafika- Kuwa na subira usitokwe na mapovu hovyohovyo.

Kikwete itamshughulikia lini?....
 
kwani ni uongo?

Ndio ni Urongo uliopitiliza kwa kuwa kila mmoja(isipokuwa wapumbavu tu) anatambua kwamba Magufuli aliomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa rais wa Tz kwa kuinadi ilani ya ccm sasa wewe iweje useme kwamba anatekeleza ilani ya chama chenu ilihali hata hiyo ilani yenu huyo aliyekuwa mgombea wenu alishindwa kuinadi na kuwaambia watu wakaiangalie kwenye tovuti,anagalau ACT wakisema hiyo kauli naweza kuwaelewa kwa kuwa yule mama aliyegombea uraisi alimkabidhi Magufuli ilani ya chama chao ili aweze kutekeleza baadhi ya mambo aliyooyainisha.
 
usipanic twende taratibu, ilani ya Chadema ilisema itapunguza msafara wa viongozi hasa rais, kupunguza safari za nje na za kipuuzi, kuunda serikali yenye uchumi imara yaani kuhakikisha tunaziba mianya ya wakwepa kulipa kodi...kupunguza baraza la mawaziri, elimu bure, kufuta posho za kipuuzi.....si ndiyo anayoyafanya magufuli.
kumbuka CCM kupitia Lameck Airo imeshamuonya Magufuli kuwa siyo walichomtuma hapa Ikulu..
 
Waacheni waandamane na kumfuata Lowassa lakini serikali hii ni ya CCM. Si mmeona Mamvi alivyofyata mkia? Mwaka huu wataisoma namba hasa kwa kasi hii ya Magufuri maana na wao ICD zao zimo kati ya zilizofungiwa.
 
Na bado, mtaondoka tu na hii safisha safisha.

Mjipange tu kujibu zile mali mlizojilimbikizia mlipataje, msifikiri kwa kukimbilia huko kunakonunuliwa watu ndiyo hamtaulizwa.

Huyu Vick, ex uwt chairwoman. ..amenunuliwa bei gani vile. ..
 
Bora ameondoka mwenyewe kabla tingatinga hajamshughulikia

Chabruma hujajitambua tu bado! Sasa Magufuli atamfanya nini mwenyekiti wa UWT. ..wakati yeye JPM sio kiongozi wa chama. ...na huyo aliekuwa m/kiti uwt mamlaka yake ya uteuzi na reporting ya kazi zake si kwa Pombe. .

Na Pombe hapewi leo wala kesho uenyekiti wa maccm. ....maana mmemshitukia anatenda kama ukawa. ..
 
Mbona wapo wengi tu.

Kisha wanaota ushindi katika uchaguzi wa ubunge Arusha!!!!!!

CCM Mpasuko.jpg

Mvuvi.jpg

View attachment 309575
 
usipanic twende taratibu, ilani ya Chadema ilisema itapunguza msafara wa viongozi hasa rais, kupunguza safari za nje na za kipuuzi, kuunda serikali yenye uchumi imara yaani kuhakikisha tunaziba mianya ya wakwepa kulipa kodi...kupunguza baraza la mawaziri, elimu bure, kufuta posho za kipuuzi.....si ndiyo anayoyafanya magufuli.
kumbuka CCM kupitia Lameck Airo imeshamuonya Magufuli kuwa siyo walichomtuma hapa Ikulu..

Sawa Bana,siwezi kukubishia hayo unayoyasema kwa kuwa sijasoma ilani ya Chadema,isipokuwa haya anayoyafanya sasa Magufuli nilimsikia akiyasema kwa kinywa chake,sasa kama nilivyosema hapo awali siwezi kukubishia kwa kuwa sijui na yeye aliyapata huko kwenye hiyo ilani yenu au wapi.
 
Back
Top Bottom