100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,733
- 30,456
Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Geita na Mtia nia wa Ubunge jimbo la Geita mjini Manjale Magambo Ametekwa jana 24 October 2025 saa tatu Nyumbani kwake maeneo ya Bombambili.
Simu yake ilituma Masseji za maandamano kwa watu zaidi ya 2000 inasemekana alifanyiwa figisu kwenye ubunge sasa analipa kisasi.
Pia soma: PreGE2025 - Mwenyekiti wa UVCCM Geita Manjale Gambo achukua fomu nafasi ya Ubunge Geita Mjini
Hiyo Gari iliyomteka inaplate namba ya Toyota Vanguard lakini gari ni Toyota Hillux ambayo inasoma jina la Brian Paul Bayo yenye number ya 0710909491 mmiliki wa gari ni wa Arusha.