PreGE2025 Mwenyekiti wa ngome ya Wanawake ACT Janeth Ritte atoa wito kwa wanawake kuungana kuitoa CCM Madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Ritte ametoa wito kwa wanawake kuungana na chama cha ACT Wazalendo ili kuitoa CCM madarakani kwa kile alichodai kuwa baadhi ya matukio yanayotokea nchini yanawaathiri wanawake ikiwemo kupotea kwa watoto

" Wanawake amabao ndio wenye chanagamoto nyingi ninaamini tunaenda kuikataa CCM ninaamini tunaenda kuungana na ACT Wazalendo ili tutengeneze Jeshi kubwa la wanawake, twendeni tukafanye mabadiliko tuseme inatosha watoto wetu wanapotea, wanawake wa Tanzania mko wapi? hatuwenzi kuendelea kulia hawezi kufanya chochote, wanawake wa Tanzania tuinuke tuikomboe Tanzania, aluta continuea"- Janeth Ritte

Ritte ameyasema hayo juni 18, 2025 kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika Viwanja vya Bakhresa Manzese Ubungo Dar Es Salaam

Chanzo: JAMBO TV
 
Naunga mkono hoja.

Waliokubali kushiriki uchaguzi washiriki na wasiokubali kushiriki waheshimiwe maamuzi yao.

Naunga mkono reforms za uchaguzi kufanyika lakini pia CCM hatuwezi kufanya reforms zitakazotuondoa madarakani katika kipindi hiki.

sioni reforms zinazoweza kufanyika katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi labda kama kuna njia nyingine itakayotumika kuzuia uchaguzi huu wa 2025.
 
Baada ya huu uchaguzi anakwenda kuwa mkuu wa mkoa. Rejea mama Anna Mgwira na Quuen Sendiga.
 
1000040412.jpg
 
Naunga mkono hoja.

Waliokubali kushiriki uchaguzi washiriki na wasiokubali kushiriki waheshimiwe maamuzi yao.

Naunga mkono reforms za uchaguzi kufanyika lakini pia CCM hatuwezi kufanya reforms zitakazotuondoa madarakani katika kipindi hiki.

sioni reforms zinazoweza kufanyika katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi labda kama kuna njia nyingine itakayotumika kuzuia uchaguzi huu wa 2025.

chadema wana matatizo ya akili mkuu. Binfsi nahisi bado hawajawaelewa CCM vizuri
 
Wewe ndiyo huwaelewi ccm sasa!tangu 1995 yamebadilishwa mambo mangapi na hiyo tume ya ccm mfano dadtar la kufumu la wapiga kura nk
Hayajaja kwa hiari wala utashi wa ccm ni kupitia mapambano
 
CCM hawawezi kubadilishi chochote kwenye tume cha msingi
 
chadema wana matatizo ya akili mkuu. Binfsi nahisi bado hawajawaelewa CCM vizuri
Mimi ni ccm ninaetaman sana kuona reforms zinazohusu masuala ya uchaguzi zikifanyika.

Lakini ninavyoona mimi kususia uchaguzi sio kama ni njia yakuharibu uchaguzi huu zaidi ya kuona CCM tumepata ushindi mwepesi sana.

Maalim Seif alisusia uchaguzi najua wengi wabajua nini kilitokea.Sio jambo geni ila tu tofauti kwasasa Chadema wanahitaji reforms.
 
CCM hawawezi kuleta reforms bila ya pressure nzito kutoka nje, kitu ambacho kwa kususia uchaguzi kwa CHADEMA haitaweza kutokea. Njia pekee yakusinikiza hilo ilikuwa ni kukinukisha kipindi cha uchaguzi.
 
Back
Top Bottom