Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia awapa pole CCM kwa kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza

Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI.

View attachment 1912488
View attachment 1912605

28 August 2021 Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia, ametoa pole kwa chama cha Mapinduzi (Ccm), kwa kufiwa na mmoja wa wanachama wao anayefahamika kwa la Hamza, ambaye aliuwawa na jeshi la polisi wiki hii.
Source: MwanaHALISI TV
 
Ikisikia umetoka kutoa funza harafu unatembezwa eneo lilioungua kwa moto

shughuli yake pevu kwelikweli
 
Mbatia hawezi kuandika upumbavu kama huu
Kwa hali hii, hata Mtoto mpendwa, kwa nini asiweze

Polisi wasambaratisha kikao cha Kamati Kuu ya NCCR-Mageuzi

...maalum toka polisi. " Polisi wenye Silaha nzito na Mabomu ya machozi gari 3 zimezingira Ukumbi uliokuwa ufanyike kikao chetu cha Kamati kuu ya NCCR-MAGEUZI kwamba hakuna kikao chochote cha Siasa kinaruhusiwa kufanyika bila kibali maalumu kutoka jeshi la Polisi. Wamefunga geti la kuingia na... Mtanke; Thread; Today at 8:25 AMReplies: 40; Forum: Jukwaa la Siasa
 
Kumbe kweli Serikali haikukosea kumshitaki Mbowe na makosa ya UGAIDI, maana viongozi na baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wamefurahia sana kitendo cha GAIDI HAMZA kuuwa askari na kuleta taharuki.
na huo ndio inasemekana ilikuwa mkakati wa Mbowe.
na endapo HAMZA asinge uwawa lazima Chadema wange mnunua ili kutekeleza uhalifu.
hii inathibitisha kuwa Chadema ni Kichaka cha wahalifu.
Kwa kuweweseka huku yaonekana bado kidogo utastahili kuhamishiwa kwenye ile hospitali ya afya ya akili.
Mheshimiwa Hamza, kakuondoleeni kabisa utulivu magaidi wenzie.
 
inaonekana kuna baadhi ya wafuasi wa Mbowe/Chadema na baadhi ya viongozi kama wana vichembe chembe vya kigaidi.
waswahili wanasema maji hufuata mkondo.............................................
inabidi wafuatiliwe kwa karibu sana.
Mada inamhusu Mbatia na Ccm .
Wewe umeng'ang'ana na Mbowe si akufanye kimada uridhike. Maake kama kuoa alishaga oa.
 
inaonekana kuna baadhi ya wafuasi wa Mbowe/Chadema na baadhi ya viongozi kama wana vichembe chembe vya kigaidi.
waswahili wanasema maji hufuata mkondo.............................................
inabidi wafuatiliwe kwa karibu sana.
Unataka kusema Hamza alitoka ccm akahamia chadema?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom