Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia awapa pole CCM kwa kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza

Nilisikiaga Mbatia ni mwanasiasa mbobevu lakini alichoandika hapo hakilingani na ubobevu wake

Haya mambo ndio yanasababisha Tanzania kukosa wapinzani imara wala vyama pinzani vyenye tija.

Kujenga mtaji wa chama chochote cha siasa tunahitaji viongozi imara wa upinzani, viongozi watakaoweza kujenga mtajiWanachama kwa kutenganisha maovu ya mtu au mwanachama na dini yake, rangi yake, kabila lake, uwezo wake wala nafasi yake kwenye jamii
 
Mbowe inadaiwa alidiriki kuwatumia baadhi ya wanajeshi ambao sio waaminifu kwa kuwalipa fedha ili watekeleze vitendo vya Kigaidi, hivyo haijalishi huyo Hamza alikuwa kada wa ccm lkn inawezekana kabisa akashawishiwa na Mbowe/CHADEMA akafanya uhalifu.
Lema amewahi kunukuliwa akisema kuwa wakati alipo kamatwa na Polisi, wapo baadhi ya Askari huwa walikuwa wanampa taarifa za siri!!!
ipo wazi kabisa wapo baadhi ya makada wa ccm na hata viongozi waliopo serikalini ambao sio waaminifu ambao wanaweza kushirikiana ktk kutenda na kufanikisha uovu/uhalifu hivyo haijalishi kama inavyo daiwa Mbowe na hao wenzake alionwarubuni kutekeleza vitendo vya kigaidi.
 
Lkn si kasema ukweli? Viongozi waongo wako CCM.
 
Hadithi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom