PreGE2025 Mwenyekiti wa INEC atembelea Gereza la Butimba kukagua zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

PreGE2025 Mwenyekiti wa INEC atembelea Gereza la Butimba kukagua zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Blasio Kachuchu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
573
Reaction score
359

Na Mwandishi Wetu, Mwanza.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Julai 03, 2025 amemtembelea na kukagua mwenendo wa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Gereza Kuu la Butimba lililopo mkoani Mwanza na kushuhudia namna zoezi linavyokwenda kwa ufanisi.

Mzunguko wa tatu wa awamu ya pili ya uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Wafungwa chini ya miezi sita na mahabusu waliopo katika Magereza kwa Tanzania Bara na Vyuo vya Mafunzo Zanzibar ulianza Juni 28 na unataraji kukamilika Julai 04, 2025.
1000762466.jpg

1000762456.jpg

1000762464.jpg

1000762462.jpg

1000762460.jpg

1000762452.jpg

1000762454.jpg
 
Back
Top Bottom