Mwenyekiti wa H/W Kibondo ajiuzuru

Mwenyekiti wa H/W Kibondo ajiuzuru

Rwiai

Member
Joined
Jul 17, 2009
Posts
45
Reaction score
4
Saimon Kanguye Kagori ambaye alikuwa M/Kiti wa H/W Kibondo mkoa wa Kigoma kupitia CCM amejiuzuru wadhifa huo tar. 21.6.2012 kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na ofisi. Taarifa ya kujiuzuru kwake ilitolewa ktk kikao cha dharura cha Baraza la madiwani tar. 22.6.2012 na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo.
 
Asante mkuu kwa taarifa ungeandika Halmashauri ya Wilaya na si H/W. Nadhani upepo tu ila ikifika 2015 kitakuwa kimbunga
 
H/W ndio nini? unajua principles za kutumia abbreviations??
 
Humu ni JF watumiaji wote ni wasomi wanajua sms na smg sio lazima ukasomee shpthand kwani tunatumia mobile mambo ya Internet cafe ni ya mwaka jana kujaza page
H/W Kibondo ujue wilaya ikiwa mwisho maana yk Halmashauri ya Wilaya
 
mi nilielewa mapema
amekuwa muungwana
kusoma nyakati ni vyema zaidi
 
Saimon Kanguye Kagori ambaye alikuwa M/Kiti wa H/W Kibondo mkoa wa Kigoma kupitia CCM amejiuzuru wadhifa huo tar. 21.6.2012 kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na ofisi. Taarifa ya kujiuzuru kwake ilitolewa ktk kikao cha dharura cha Baraza la madiwani tar. 22.6.2012 na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo.

Hembu fafanua zaidi hapo kwenye red. Ametumia vipi ofisi vibaya?
 
Kujiuzulu tu haitoshi apelekwe mahakama akajibu tuhuma.
 
Saimon Kanguye Kagori ambaye alikuwa M/Kiti wa H/W Kibondo mkoa wa Kigoma kupitia CCM amejiuzuru wadhifa huo tar. 21.6.2012 kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na ofisi. Taarifa ya kujiuzuru kwake ilitolewa ktk kikao cha dharura cha Baraza la madiwani tar. 22.6.2012 na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo.

H/W = Home Work
 
H/W ndio nini? unajua principles za kutumia abbreviations??

Mbona ina eleweka! Tatizo ni hii elimu yetu ya sasa hivi. Sitashangaa kama kuna vijana leo hii hawajui hata maana ya halmashauri ya wilaya!
 
Saimoni Kanguye diwani na aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauli ya wilaya ya kibondo,huyu jamaa alikuwa kiongozi mchapa kazi,alibebwa sana na aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya MAGAMBA bwana Jamali,mwarabu koko mwenye kashfa na tuhuma kibao kama ujambazi,udhurumaji,mauaji na ufisadi kwenye tenda za kulisha wanajeshi mpakani mwa TZ na Burundi,tukiludi kwa bwana Saimoni Kanguye,yeye mbali na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi ya umma,pia jamaa anapenda sana mambo ya kishirikina na uchawi,ipo siku moja basi moja lilokuwalinapandisha mlima lilifeli breki na kurudi nyuma kwa kasi na kugonga na kubomoa ofisi yake pale wilayani,mala baada ya tukio hilo Kanguye alisomba waganga wa kienyeji akiamini ni mambo ya kishirikina eti madui zake kisiasa wanamtaka kumuua,pia amekuwa akitumia gari za Halmashauri ya Kibondo zinazoenda Mwanza kwenye matengenezo kubeba na kupeleka vitu kwa mwanamke wake anaesoma Sanaa na Ualimu,BAED,SAUT,ikiwa ni pamoja na kumzungusha mwanamke wake huyo,
 
Mbona ina eleweka! Tatizo ni hii elimu yetu ya sasa hivi. Sitashangaa kama kuna vijana leo hii hawajui hata maana ya halmashauri ya wilaya!

hakuna asiyejua Halmashauri ya Wilaya lakini sijui ni wangapi wanajua nini maana ya H/W?? mimi nilitadhani home work? wewe unaweza kuniambia manaa ya Y/U? T/U? H/K? abbreviations should always be defined before use!
 
Nawewe ni walewale kwa sababu mtu anayeelewa hatafuti maana ya neno mojamoja bali sentence nzima inaeleza nini. Tafsiri yako ya H/W kuwa ni home work haileti maana kabisa kwa maana ya Mwenyekiti wa Home work Kibondo, ukisoma thread hadi mwisho utagundua inazungumzia Halmashauri ya Wilaya.
 
none sense
 
H/W = Home Work
.
Ha ha ha mkuu Ng'wanangwa ...... tatizo JF mnapenda ubishi sana

Haya ongezea na hizo basi

H/W = Hardware
H/W = Hot Water
H/W = Homework
H/W = Husband and Wife
H/W ​= Hours and Wages
H/W ​= Homework
H/W ​= Hollywood
H/W ​= Highway
H/W ​= Hazardous Waste
H/W ​= Hardwood
H/W ​= Handwriting
H/W ​= High Water
H/W ​= Hot Wheel
H/W ​= Hot Wire (welding technology)
H/W ​= Heartworm
H/W ​= Hard Wired
H/W ​= Hard Water
H/W ​= Headwind
H/W ​= Half-Wave
H/W ​= Heavy Water
H/W ​= Herewith
H/W ​= Homewrecker
H/W ​= Hundredweight
H/W ​= Hand Wheel (automotive steering systems)
H/W ​= Hatchway
H/W ​= Half-Word
H/W ​= Health Week (PBS show)
H/W ​= Heater, Water
H/W ​= Hall-Way
H/W ​= Hand Weeding
H/W ​= Highly Weathered (soil mechanics)
H/W ​= High-Warning
H/W ​= Hacked Website
H/W ​= Homing Weapons
H/W ​= Horizontal Weather Depiction

upo sawa mkuu ndio maana nikasema abbreviation kabla ya kutumia you have to define it!!
 
Humu ni JF watumiaji wote ni wasomi wanajua sms na smg sio lazima ukasomee shpthand kwani tunatumia mobile mambo ya Internet cafe ni ya mwaka jana kujaza page
H/W Kibondo ujue wilaya ikiwa mwisho maana yk Halmashauri ya Wilaya

Ukipika senene ni safi maana wanajikaanga kwa mafuta yao
 
Back
Top Bottom