Bashite anasikiliza kwa makini utafikiri ana uelewa wa kutosha, kumbe ziro kabisa
Yani ukimuona hivi usoni Bashite utafikiri ana akili fulani kumbe ni completely zero kabisa.Bashite anasikiliza kwa makini utafikiri ana uelewa wa kutosha, kumbe ziro kabisa
Kivipi yani?Hahahaha.... Wapinzani kuyaishi maneno yao ni ngumu sana!
Na hicho anachokisikiliza kwa umakini hivyo moyoni anaki-crush kwasababu ya uccm.Yani ukimuona hivi usoni Bashite utafikiri ana akili fulani kumbe ni completely zero kabisa.
Bashite anasikiliza kwa makini utafikiri ana uelewa wa kutosha, kumbe ziro kabisa
Aibu kupost mawazo ya kitoto. Nenda kijiweniTz hakuna wanasiasa wengi ni wachumia tumbo..hata huyu anayesema tumuombee..nia yake ni ile ile tu..nendeni chato mkajionee.