Mwenyekiti wa chadema taifa,kufungua tawi kubwa makumira university leo

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Mwenyikiti wa taifa wa chadema mh Freeman Mbowe atafungua tawi kubwa chuoni makumira kuanzia saa tano asubuhi,wadau mnakaribishwa..
 
Nimependa sana strategies za CDM, jana Dr. Slaa alifungua ofisi za jamii ya wanachuo wa CDM CHASO pale mabibo ambopo inawanachama 300 bila kujumuisha walijiandikisha jana kulingana na mlezi wa CHASO Dr. Kitilla Mkumbo wamepanga kufungua matawi katika vyuo vyote vya juu nchni , hili limeka vizuri sana
Hongereni sana Chadema
 
:A S-fire1:! hatua inayofata ni kwenda shule za sekondari na kufungua matawi! :shock:naililia nchi yangu yanganyika! saa ya ukombozi ni sasa tanganyika
:pizza:
 
Chadema iende SUA na UDOM pia! tusisahau SAUT pale tunaye Baregu atasaidia sana hili! Now Am starting to see the light at the end of the tunnel!
 
Muhimu ni kuvutia kada zote katika jamii, hata wale wazee walokunywa maji ya kijani huku wakiendelea kuishi kwenye lindi la umaskini na ufukara wa kutupwa!
 
Muhimu ni kuvutia kada zote katika jamii, hata wale wazee walokunywa maji ya kijani huku wakiendelea kuishi kwenye lindi la umaskini na ufukara wa kutupwa!
Tushachoka na hawa vikongwe acha wafe tu, siku zao zimekaribia. Na hapa cbe siku si nyingi tunafungua tawi letu la cdm.
 
ni sawa kabisa acha wafungue mataw lakin chuo chetu wanasema hawataki siasa inakuwaje hapo?au wahindi wanawaogopa ccm.
 
kanjunju kwani mwasoma bure.kimsingi tawi la chuo huwa nje ya premise ya chuo.sheria inaruhusu.
 
This is a very hot motive i have been thinking always!
watarajie kupata members wasomi na wenye mitazamo chanya na si mashabiki wa kufuata upepo na kupakiwa katika maFUSO!!
viongozi wa baadae watakaowakomboa wazazi wao waliopigwa msukule!

pia wawe na mkakakati wa kuhakikisha kila mwanachama amejiregister kama Voter iwe ni sharti la mwanachama hai

angalizo>>>
kana NEC haitobadilisha mfumo wa upigaji kura inatakiwa tarehe ya upigaji kura iwakute wanafunzi katika maeneo yao ya vyuo walipojiandikisha kuepuka makosa yaliyotokea 2010
Viva CDM
 
Inatakiwa pia tupeleke Elimu ya Uraia hadi kwa wananchi wa vijijini. Kongamano kama lile la jana inatakiwa lipite kila mkoa kwa vijana.
 
Safi sana, na pale ardhi university mfike mapema, wale vijana walikusaidia sana mnyika
 
Eeh Mwenyezi Mungu, twakuomba uzidishe rehema zako na utupatie ushujaa ili kupitia cdm tuweze kulikomboa taifa letu kwa ajili ya vizaz vilivyopo na vitakavyokuja. Tunakuomba umjalie Dr. Wilbroad Slaa ambaye amejitoa kudharauliwa na watu waovu wasiokuwa na machungu kwa watanzani kwa ajili ya watanzania, umpe nguvu na uzima ili 2015 aweze kuwa rais wa Tanzania na kulitoa taifa kwenye ili janga la ufisadi, umaskini, ujinga na maradhi. Amin.
 
Back
Top Bottom