Mwenyekiti wa chadema mkoa wa mara na pia mbunge wa jimbo la musoma mjini amezidi kuiteketeza ccm katika mkoa wa mara katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa.Siku ya jana alifanya ziara ya kuwanadi wagombea katika vijiji sita ikiwemo wilaya ya bunda na musoma vijijini,wagombea wa upinzani wamekuwa tishio hali iliyopelekea baadhi ya wanachama wa ccm kukata tamaa ya kupata ushindi katika mitaa yao