Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa mara Vincent Nyerere aizidi kete CCM

hahahahahahha -

Wasira namfahamu kama mwanasiasa hodari sana, he knows how to play this game, na hasa kwa Bunda mnakazi sana,unajua huwezi shindana na mtu ambaye anafikiria kuwa Rais. Kama nipo kwenye level ya kubeba fedha kwenye gunia how tena Wasira anilishe? Ila nyie team Esta mshaurini mwenzenu akae kimkakati,ila kwa mwendo kama wako hata Mimi naweza mshinda Esta

Duh wassira awe raisi?labda ya vihiyo na wezi wa matairi ya gari serikalini na si wa watanzania tunaojielewa
 
attachment.php
Hongera UKAWA kwa kuwaweka wananchi kwenye umoja.
 
Duh wassira awe raisi?labda ya vihiyo na wezi wa matairi ya gari serikalini na si wa watanzania tunaojielewa
Usikurupuke,nimesema anayefikiria kuwa Rais! Hivyo huwezi kulinganisha vision ya urais na Ubunge,in a matter of fact Esta ni mdogo kwa namna yoyote ile ukimringanisha na Wasira
 
Tumia akili kufikiri,usilinganishe uchaguzi ambao wapiga kura waliopo kwenye daftari walikuwa 8000 lakini waliopiga kura ni 2000 tu! Kwa sasa watu wamejiandikisha na ccm lazima iangukie pua!
niambie watakaojiandisha ni wangapi na wakaopiga kura ni wangapi? Je kwa nini ushindi haukupatikana kwa hao 2000? Unataka niamini daftari likiwa zuri halafu wapiga kura wasikupe kura utashinda?
 
Ester kujipendekeza Chadema kutamponza. Halima Mdee anamdanganya sana

At least ushaelewa moja ya sababu ambazo zinamchafua Esta Ni hiyo! Na hii itamuweka njia panda mbele ya safari either ataamua kubaki kwenye chama Chake au atahamia upinzani, na hapo ndio naziona zama mbaga za mh.Esta
 
Usikurupuke,nimesema anayefikiria kuwa Rais! Hivyo huwezi kulinganisha vision ya urais na Ubunge,in a matter of fact Esta ni mdogo kwa namna yoyote ile ukimringanisha na Wasira

Unaweza ukawa na fikra za kuwa raisi lakini usiwe na sifa za kuwa raisi,hata baadhi ya vichaa huwa wana fikra za kupata uraisi japo hawawezi kupata uraisi na mmoja wao ni wassira
 
Siku zote mikutano ya chadema watu nyomi.kura zikihesabiwa aibu

Tatizo sio wingi wa watakaopiga kura bali ni wizi wa hao majizi yanayovaa Kijani yakishirikiana na Policcm na Tume rojo ya uchaguzi! na sasa hicho kitongoji kinachoitwa Tamisemi (chini ya Pinda) ndio wale wale...!

Mfano juzi takwimu zilionyesha mara tu baada ya kumalizika zoezi la kuandikisha wapiga kura, kuwa waliojiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa ilikuwa ni kama 45% yaani pungufu ya 50% ila taarifa iliyotolewa jana na TAMISEMI (baada ya kupika wapiga kura maruhani), wametangaza eti waliojiandikisha wanazidi asilimia 60% ...nyang'au!
Hizo asilimia 15%+ ni za maruhani!
Je mfano kama CCM awali ingepata 30% ya waliojiandikisha, na Upinzani 15% (ambapo inafahamika 55% hawakujiandikisha), hapo utagundua kuwa baada ya kujitafutia 15% za maruhani, CCM (30% + 15%) = 45%) na Upinzani inabakia na ile ile 15% na kwa kuwa wataiba tena za Upinzani zaidi ya 5% CCM (30+15+5)% = 50% na Upinzani wanabakia na 10%! Hivyo (cumulatively) kunao uwezekano wa majizi hayo kupata 'ushindi wa wizi' wa asilimia zaidi ya 70% na Upinzani kupata pungufu ya 30%...ila majibu ya yote ni kuwa MAJIZI hayo yanajiibia hata yenyewe, sembuse kuibia wengine?!
 
Ulikuwa Bunda meaneo gani?

Sasa wewe unaishi musoma bunda unakuja mara moja kwa wiki kukusanya habari mambo ya bunda utayajulia wapi?we fanya kazi yako ya uandishi siasa ya kutumikia vibaka wa ccm kama wassira hutaweza na kwa bahati mbaya musoma ccm mmeshatandikwa na bunda pia mnatandikwa
 
Hawa ccm ni vibaka sana
 
we bunda huijui. Tuulize sisi tunaoijua bunda vizuri
 
Back
Top Bottom