Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa mara Vincent Nyerere aizidi kete CCM

msimu wa ccm kuwatumia vibaka kukata watu wa upinzani mapanga musoma kisa
uenyeviti wa mitaa umefika naogopa sana
vijana wanaotumiwa kwa kupewa viroba kukata
wenzao na mapanga kwa style hii vijana
tutakufa siku si zetu nachukiua siasa za ccm
musoma mjini nawaunga mkono viongozi wa
kweli,ukawa twende kazi ccm imefikia hatua mbaya
 
At least ushaelewa moja ya sababu ambazo zinamchafua Esta Ni hiyo! Na hii itamuweka njia panda mbele ya safari either ataamua kubaki kwenye chama Chake au atahamia upinzani, na hapo ndio naziona zama mbaga za mh.Esta

Esta sijui Halima Mdee anamfanya nini anashindwa kujielewa kabisa
 
Unaweza ukawa na fikra za kuwa raisi lakini usiwe na sifa za kuwa raisi,hata baadhi ya vichaa huwa wana fikra za kupata uraisi japo hawawezi kupata uraisi na mmoja wao ni wassira
fikira na sifa ni vitu viwili tofauti, na kinyume chake ni unaweza kuwa na sifa ila usiwe na fikira.
 
fikira na sifa ni vitu viwili tofauti, na kinyume chake ni unaweza kuwa na sifa ila usiwe na fikira.

Siku zote fikra zinaendana na vigezo,leo hii huwezi kupanda mahindi ukategemea kuvuna mtama utakuwa mwehu
 
Sasa wewe unaishi musoma bunda unakuja mara moja kwa wiki kukusanya habari mambo ya bunda utayajulia wapi?we fanya kazi yako ya uandishi siasa ya kutumikia vibaka wa ccm kama wassira hutaweza na kwa bahati mbaya musoma ccm mmeshatandikwa na bunda pia mnatandikwa
jibu ulikuwa/ alikuwa Bunda sehemu gani?, na kwa taarifa yako 2015 upinzani wasipokaa sawa watatoka mikono mitupu huko Mkoa wa Mara,na hata mwenyekiti wenu yanaweza kumtokea ya Mbatia 2000
 
Siku zote fikra zinaendana na vigezo,leo hii huwezi kupanda mahindi ukategemea kuvuna mtama utakuwa mwehu
Unachanganya Habari,nakuona unatapatapa na unarukia kila kitu kinachokuja kichwani mwako.
 
jibu ulikuwa/ alikuwa Bunda sehemu gani?, na kwa taarifa yako 2015 upinzani wasipokaa sawa watatoka mikono mitupu huko Mkoa wa Mara,na hata mwenyekiti wenu yanaweza kumtokea ya Mbatia 2000

We endelea kuota ndoto za mchana,sasa huyo bosi wako mathayo na chama chake ana sera gani za kuiangusha cdm musoma?au kura utapigia hapo busamba wewe na domi?unazani kushinda ni rahisi kama domi anavyokuhonga nyama choma hapo delux
 
Unachanganya Habari,nakuona unatapatapa na unarukia kila kitu kinachokuja kichwani mwako.

Tayari umeshanganyikiwa mwandishi kanjanja,hata hivi vitu vidogo unashindwa kuvichanganua
 
We endelea kuota ndoto za mchana,sasa huyo bosi wako mathayo na chama chake ana sera gani za kuiangusha cdm musoma?au kura utapigia hapo busamba wewe na domi?unazani kushinda ni rahisi kama domi anavyokuhonga nyama choma hapo delux
CCM haina mgombea mmoja tu
 
Hakikisheni mnaizika kabisa CCM Mara.

Hapa bunda ccm imekufa huko musoma mjini nako hivyohivyo nashukuru kazi zangu zimeisha kesho asubuhi narudi nyumbani kushuhudi siku ya kufunga kampeni na kuizika ccm hapo viwanja vya mkendo
 
Esta anapenda siasa za mkumbo. Hana washauri wazuri wa kisiasa na hata kimalezi, huwa najiuliza hivi ni kweli Esta ni mzaliwa wa Mara?

Mbona na wewe haujiulizi jinsi unavyodhalilisha taaluma yako ya uandishi kwa kuruhusu njaa ya tumbo kukutawala akili?wewe umelelewa katika mazingira ya kupenda kuhongwa mtoto wa kiume siku si nyingi mathayo atakuoa,ester oyeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom