Mwenyekiti wa CHADEMA Kibaha ajiunga CCM

Mwenyekiti wa CHADEMA Kibaha ajiunga CCM

Ukabila ni sawa na kucheza na utelezi wa kwenye mtelemko unaoelekea kwenye mto wa mamba.

HARAKATI za ukabila ZINAHATARISHA UVUNJIFU WA AMANI
 
- mtu yeyote aliyefilisika sera, akishafilisika sera, atajikhalalisha kwa udini wake au kwa ukanda wake, uzanzibar wake au uzanzibara wake....NYERERE.
 
Mkianza kujigawa kimakundi hamtafika popote...wekeni ukabila pembeni!
 
Mbona ameenda Ccm maana nachojua mimi Ccm ni Chama cha Familia za watu Sita au hajasoma majina ya Uvccm na Kamati Kuu..Na katika yote hayo sijasikia jina la Chagulage mimi napafahamu Kibaha sijawahi kumsikia ila sasa hivi nimemsoma hapa JF au Techniques za magamba wanajigawawia kadi alafu wanatangaza kwamba wametokea Chadema..Hakuna Jina kama hilo Hapa Kibaha labda kama ni Kibada
hebu tuambie wewe maana inaonekana umwenyeji hapo, mwenyekiti wa chadema hapo anaitwa nani?
 
Wanabodi.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini, Abdallah Ngajulage ametanganza kukihama chama na kujiunga na CCM.

Ngajulage amejitoa Chadema kwa sababu ya kutawaliwa na ubinafsi na ukabila.

Amechoshwa vitendo vya Chadema nyadhifa kuu za kitaifa kushikwa na watu wale wale kila chaguzi na uchoyo wa maslahi unaowabana viongozi wa chini.

SOURCE: MWANANCHI JANUARI 22, 2013.

Hii thread mbona inanichanganya hapo kwenye nyekundu.................. [h=3]
icon1.png
News Alert: Mwenyekiti wa CHADEMA kibaha ajiunga CCM[/h] Started by T2015CCM, Today 11:17
 
Last edited by a moderator:
Ni vizuri masalia wajitoe mapema, maana walitawalia na ubinafsi wa kutaka chama kiwafanyie hiki na kile badala ya wao kukitumikia chama, je alipata cheo hicho kwasababu ya kabila lake? bullshit
 
yan kuskia kamati kuu ya chadema inajiandaa kukaa tuh na mazungumzo ya kichama kaingia na uoga kiasi hiko??lol,,

ni vema mkaanza kujiondoa ondoa wenyewe,kimbieni haraka sana.
 
Tunaelekea kwenye uchaguzi jamani sasa ambao wanajiona wanahitaji ulaji wanaanza kuahama mapemaKatika hiki kipindi wengi watahama vyama hasa wanaotaka madaraka ama kipato.

Karudia matapishi yake?kazi kweli kweli...

Na bado mtatoa kila sababu kujikosha .
Mmeambiwa ukanda, umangimeza, ubaguzi utawaua , sasa watu wameshasituka.
Mtu anaingia jikoni na kula hela ya wanachama bila ridhaa yao-wizi mtupu.
 
mkuu Katavi maccm kwa kujifariji mi nawachukia sana nimepoteza mpwa wangu hapo Mwananyamala eti hajaenda na gloves za kujifungulia hawa maccm wanao tibiwa India hawa siku zao zinahesabika
Pole mkuu, lakini si ungempeleka Lumumba?
Hapo Mwananyamala CCM hawatoi tiba.
 
Ritz rekebisha heading yako au tufafanulie kwamba Chadema sasa haina Mwenyekiti Kibaha? kwani ukiweka heading ya aliyekuwa Mwenyekiti watu hawawezi kuchangia thread yako? huu ni umbumbumbu. si wote watakaoiona Kanani.
 
Last edited by a moderator:
kama slaa alivyo shindwa kufugika ccm.ccm hakuna mikopo ya mil.140

Big up mkuu kwa kuwa muwazi, nyinyiemu hamna mkopo wa tumilioni, bali ni ukwapuaji wa mabilioni na ufisadi uliopitiliza mipaka, rejea EPA, Deep Green Finance, usafirishaji wa wanyamapori na pembe za ndovu, among others, need I say more?
 
kama slaa alivyo shindwa kufugika ccm.ccm hakuna mikopo ya mil.140

ila kuna wizi wa EPA,IPTL,PEMBE ZA NDOVU,MAUAJI YA WANAHABARI,UTEKAKAJI WA DR.ULIMBOKA NA UOKOAJI WA WATOTO WA VIONGOZI WA SERIKALI WANAPOKUWA WAMEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA!
Duh! Kweli hapo Dr. Slaa hawezi asingefugika!
 
Pole mkuu, lakini si ungempeleka Lumumba?
Hapo Mwananyamala CCM hawatoi tiba.

Inasikitisha sana mkuu nimejaribu kufuatilia hili swala la kwa nn hospitali haina vitendea kazi nimeambiwa na uongozi kuwa serikali ya ccm ni sikivu na hili swala la kukosa vitendea kazi ni MTAMBUKA
 
Ritz rekebisha heading yako au tufafanulie kwamba Chadema sasa haina Mwenyekiti Kibaha? kwani ukiweka heading ya aliyekuwa Mwenyekiti watu hawawezi kuchangia thread yako? huu ni umbumbumbu. si wote watakaoiona Kanani.

Hayo maneno kawaambie wamiliki wa gazeti la Mwananchi. Mimi sijaongeza kitu wala kupunguza kitu. Kuna chanzo cha habari nimekiweka hapo chini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom