Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,511
Hayo maneno kawaambie wamiliki wa gazeti la Mwananchi. Mimi sijaongeza kitu wala kupunguza kitu. Kuna chanzo cha habari nimekiweka hapo chini.
Ndio Maana siku zote akili ndogo kamwe haiwezi kuongoza akili kubwa, hivi ni sahihi kuleta habari hapa Mwenyekiti wa CCM Dar ajiunga na Chadema, na ukiisoma habari unakuta jina la John Guninita, sasa ni nani mwenyekiti wa CCM Dar zaidi ya Ramadhani Madabida?Hayo maneno kawaambie wamiliki wa gazeti la Mwananchi. Mimi sijaongeza kitu wala kupunguza kitu. Kuna chanzo cha habari nimekiweka hapo chini.
Lakini hakuiba simu kama wewekama slaa alivyo shindwa kufugika ccm.ccm hakuna mikopo ya mil.140
Wanabodi.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini, Abdallah Ngajulage ametanganza kukihama chama na kujiunga na CCM.
Ngajulage amejitoa Chadema kwa sababu ya kutawaliwa na ubinafsi na ukabila.
Amechoshwa vitendo vya Chadema nyadhifa kuu za kitaifa kushikwa na watu wale wale kila chaguzi na uchoyo wa maslahi unaowabana viongozi wa chini.
SOURCE: MWANANCHI JANUARI 22, 2013.
Hivi inakuwaje hawa binadamu wanakuwa wameondolewa kwenye nyadhifa zao na kutangazwa kwenye vyombo vya habari lakini wakihamia vyama vingine wanajisema kuwa walikuwa bado na nafasi hizo strange k.m Eddo ,KisanduHuyu alifukuzwa siku nyingi CHADEMA kwa utapeli.
hivi nauliza tu yeye ni kabila gani? Na ilikuwaje akawa mwenyekiti kwenye chama cha kikabila? Sema njaa imemzidi kaona wanae wasile nyasi kakubali kununulika basi.Wanabodi.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini, Abdallah Ngajulage ametanganza kukihama chama na kujiunga na CCM.
Ngajulage amejitoa Chadema kwa sababu ya kutawaliwa na ubinafsi na ukabila.
Amechoshwa vitendo vya Chadema nyadhifa kuu za kitaifa kushikwa na watu wale wale kila chaguzi na uchoyo wa maslahi unaowabana viongozi wa chini.
SOURCE: MWANANCHI JANUARI 22, 2013.
Ila kuna biashara ya pembe za Ndovukama slaa alivyo shindwa kufugika ccm.ccm hakuna mikopo ya mil.140
hii thread mbona inanichanganya hapo kwenye nyekundu..................
news alert: mwenyekiti wa chadema kibaha ajiunga ccm![]()
started byt2015ccm, today 11:17
mkuu, watu wanasema balozi wa nyumba kumi wa ccm ni sawa na mwenyekiti wa wilaya au wa mkoa wa upinzani.