denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,511
- 68,142
Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Basil Lema.
" Jimbo la Hai linatizamwa na limekuwa likizungumzwa sana, hivyo Mbowe ndie atakaesimama tena na ameshachukua fomu".
NOTE.
Wale wote mliokuwa na pressure ya Mbowe kuitaka nafasi ya kugombea Urais mtulize roho zenu sasa, kwani hakuwa na nia hiyo zaidi ya kuingia ndani ya mchakato kisayansi ili asawazishe mambo.
Pia, habari nyingine ni kwamba, mtoto wa Mbowe, Ndugu James Mbowe nae amejitokeza kuchukua fomu kugombea jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chadema.