Kwa mtindo huu wa kuijadili Sisiemu day in and day out, huku mkisahau kujijenga kichama, basi Sisiemu imefanikiwa sana kuwabomoa na kuwapoteza kwenye ramani hadi mmepoteana. Aliyesema hadi 2020 hamtakuwepo, aliona mbali sana.Agenda kuu itakuwa damage control. Naona mkeka wa maDC umewachanganya Sana uvccm, wana-left magroup na kumwaga mitusi hovyo.
Kwa taarifa yako kafa mwenyewe, lkn chadema inaendelea kuimarika na sasa inapiga operesheni HAKI nchi nzima.Aliyesema hadi 2020 hamtakuwepo, aliona mbali sana.
Mimi ni Mwana CCM na bado nipo na naendelea kukitetea chama kwa nguvu zote.Agenda kuu itakuwa damage control. Naona mkeka wa maDC umewachanganya Sana uvccm, wana-left magroup na kumwaga mitusi hovyo.
Jengeni kwanza saccos yenuProject za walionunuliwa kupewa UDC imekamilika anaenda kuwapa mrejesho!
Haya bwana ila mjue tunataka katiba ya warioba by any means.
Mkuu hiyo inajengwa na Conman Legendari Mbowe! Anazunguka nchi nzima anauza kadi za uwanachama zenye bei tofautii maana hakuna u-KUB tena wala Ruzuku! Ahahahahahahahah!!!Jengeni kwanza saccos yenu
Utaletewa hapo hapo getoni kwakoProject za walionunuliwa kupewa UDC imekamilika anaenda kuwapa mrejesho!
Haya bwana ila mjue tunataka katiba ya warioba by any means.
Bila shaka unajipa moyo kwamba utakuwemo kwenye mikeka ya maDAS na maDED. Ukikosa humo na wewe utaleft magroup ya ccm.Mimi ni Mwana CCM na bado nipo na naendelea kukitetea chama kwa nguvu zote.
Mama yetu awe makini kweli vikao kama hivyo wabaya ndio wanatumiaga fursa sehemu hizo. Mang'ula alikoswa koswa.Dodoma
KAMATI Kuu ya Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), itakutana kesho Jumanne, tarehe 22 Juni 2021, jijini Dodoma Chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan.
š š Umekalia ushabiki tu, kule kwenye saccos yenu hamna chochote cha maana. ShameAgenda kuu itakuwa damage control. Naona mkeka wa maDC umewachanganya Sana uvccm, wana-left magroup na kumwaga mitusi hovyo.
CHADEMA ipo na hakuna wa kuiua.Aliyesema hadi 2020 hamtakuwepo, aliona mbali sana.