Uchaguzi wa SM ulioshirikisha Wananchi Matokeo--
Ccm 47%
Ukawa 53%
Mapingamizi 33%
Ccm Halali ni 47% + 33% = 80%
Ukawa 53% - 33% ongezeko la Mapingamizi ccm = 20%.
Je kulipowekwa Vikwazo ccm wangeshinda kwa 100% kama wananchi wangepewa fursa?
wewe upo dunia ipi JK anataka kuiwa ccm mara ya ngapi wakati ccm imeshakufa siku nyingi sana tunasubiri kuizika 2015 rasmi ..upinzani tunamshukuru sana JK kwa kutusaidia kuiuwa ccm kiulani sana.Watu wengi walitegemea kutakaswa kwa chama hicho kupitia hotuba ya mwenyekiti Jana. Baada ya hotuba yake jana, ni dhahiri kuwa mtuhumiwa namba moja wa mauaji ya chama cha mapinduzi ni mwenyekiti wa chama hicho.
Wakati chama kikizidi kupoteza mvuto mbele ya macho ya watanzania, hakuna juhudi za makusudi kukinusuru chama hicho. Hotuba ya mwenyekit wa CCM kwa wazee wa Dar es salaam ilikuwa nafasi adimu na pekee ya kukiinua chama na kurejesha mvuto kwa watanzania. Kilichotokea jana, mwenyekiti, kuamua kupiga danadana kwa namna tofauti kwenye skendali ya Escrow. Kusema Mhongo anawekwa kiporo ni kukiangamiza chama. Kushindwa kumwajibisha Maswi moja kwa moja ni kukiua chama. Mbaya zaidi, ni pale alipomwajibisha Tibaijuka ambaye ni mnufaika wa mbali sana katika skendali hii.
CCM kama chama itasema nini mbele ya watanzania?. Kwanini chama kikose mvuto kwajili ya watu wawili?. Nani mwenye ujasiri wa kuinadi CCm mbele ya watanzania wa leo baada ya hotuba ya jana?.
ameshafanikiwa kwa kiasi kikubwa asante sana Prof.JKJK katumwa kuja kuiuwa CCM
Amini usiamini utaanza kufa wewe na kuicha ccm ikiwa hai ikiwatumikia watanzania kwa ari zaidi na nguvu zaidi.JK katumwa kuja kuiuwa CCM
Jipange vema kwa hayo mawazo yako utasubiri sana inawezekana ukapata ugojwa wa moyo juu ya jambo hili.wewe upo dunia ipi JK anataka kuiwa ccm mara ya ngapi wakati ccm imeshakufa siku nyingi sana tunasubiri kuizika 2015 rasmi ..upinzani tunamshukuru sana JK kwa kutusaidia kuiuwa ccm kiulani sana.
Unatia aibu sana .Amini usiamini utaanza kufa wewe na kuicha ccm ikiwa hai ikiwatumikia watanzania kwa ari zaidi na nguvu zaidi.