Mwenyekiti wa CCM taifa anaua chama

Mwenyekiti wa CCM taifa anaua chama

Kwa hotuba ya jana, ni ukweli usiopingika kuwa;
1. Ukawa ni mpango wa Mungu au,
2. Mwenyekiti wa CCM taifa ni ajenti wa Ukawa ndani ya CCM.
Ainuliwe Mungu aliye hai , hatimaye Mungu amewahurumia wananchi , kufa kwa ccm ni mpango ulioratibiwa vizuri na malaika , asante Mungu maana kazi imekwisha .
 
Maswali ya kujiuliza;
1. Ni kweli kikwete hajui hali CCM katika jamii ya watanzania?
2. Nini kimeporomosha CCM katika matokeo ya uchaguzi wa SM 2014?.
3. Yeye kama mwenyekiti, aliipa uzito gani hotuba ya jana?.
4. Kwa hotuba yake jana, CCM inawezaje kurejesha mvuto kwa wataqnzania?.
5. Kwa wabunge waCCM waliosimama kutetea masrahi ya chama postively, haoni kama amewavuruga?.
6. Chama kikifa kwa kuwalinda watu wawili mbele ya jamii, yeye ataifutaje historia hasi katika uongozi wake?
 
Uchaguzi wa SM ulioshirikisha Wananchi Matokeo--
Ccm 47%
Ukawa 53%

Mapingamizi 33%

Ccm Halali ni 47% + 33% = 80%

Ukawa 53% - 33% ongezeko la Mapingamizi ccm = 20%.

Je kulipowekwa Vikwazo ccm wangeshinda kwa 100% kama wananchi wangepewa fursa?
Mapingamizi tegemeo jipya lakini la muda mfupi zaidi la ccm .
 
JK katumwa kuja kuiuwa CCM

Unaweza ukawa uko sahihi, maana mkapa kazi yake ilikuwa kuua nguvu za kifedha za nchi, uuzaji wa Nbc. Chama hiki kulikuwa kikwazo kwa harakati za kuzuia uporaji wa rasilimali za kusini mwa Africa enzi hizo.
 
Attachments

  • attachment.jpeg
    attachment.jpeg
    11.3 KB · Views: 317
  • attachment-1.jpeg
    attachment-1.jpeg
    10.8 KB · Views: 309
  • attachment-13-2.jpg
    attachment-13-2.jpg
    7.6 KB · Views: 309
  • attachment-14.jpeg
    attachment-14.jpeg
    10.4 KB · Views: 303
Huyu mwehu vip tena? Mwenzako anasikitika jinsi chama kinavyoelekea chaka we ... Dah basi bwana
Katika watu wanaotia aibu wewe huwezi kukosekana jk kaongea mamno ya msingi na yenye mashiko na kuifungua jamii kwa kiasi kikubwa hasa kwa kutoa elimu ya uraia kwa wale ambao walikuwa hawajui undani wake.
 
Hivi Mjepo huyo binti anayegida chupa kwenye avatar yako siyo mheshimiwa mbunge mmoja wapo wa upinzani kweli?
 
Ainuliwe Mungu aliye hai , hatimaye Mungu amewahurumia wananchi , kufa kwa ccm ni mpango ulioratibiwa vizuri na malaika , asante Mungu maana kazi imekwisha .
Mkuu jitahidi usife mapema ili maajabu ya mungu uje kuyashuhudia maajabu ya mungu jinsi mafisadi wa ukawa watakavyopata shida.
 
JK, WABUNGE WA CCM WALE VICHWA NGUMU KAMA KOMBA, LUSINDE, ASAMPTA, HAWA GHASIA, PIA NAPE TUTAWASHUKURU SANA KWA KUCHOCHEA HASIRA Na Kasi ya mageuzi nchini
 
Huyu mwehu vip tena? Mwenzako anasikitika jinsi chama kinavyoelekea chaka we ... Dah basi bwana
We tumbili vipi? Kwa usawa huu umeramba galasa mwambie na mengi kuwa kimewaka ajipange kiboko yake amebaki na ccm ndiyo safina pekee yenye kutupeleka tunakotaka kwenda pole tumbili.
 
JK, WABUNGE WA CCM WALE VICHWA NGUMU KAMA KOMBA, LUSINDE, ASAMPTA, HAWA GHASIA, PIA NAPE TUTAWASHUKURU SANA KWA KUCHOCHEA HASIRA Na Kasi ya mageuzi nchini
Akili yako nyepesi sana sijui kama inatofauti na huyu kamanda mwenzako.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    20 KB · Views: 180
Hivi Mjepo huyo binti anayegida chupa kwenye avatar yako siyo mheshimiwa mbunge mmoja wapo wa upinzani kweli?
Ni yule mbugila wa kawe mkuu anakunywa pombe bila kutumia hata grasi kazi kweli.
 
Binafsi bora chama kife kuliko kumwadhibu mtu kwa kumuonea.
 
watu wengi walitegemea kutakaswa kwa chama hicho kupitia hotuba ya mwenyekiti jana. Baada ya hotuba yake jana, ni dhahiri kuwa mtuhumiwa namba moja wa mauaji ya chama cha mapinduzi ni mwenyekiti wa chama hicho.

Wakati chama kikizidi kupoteza mvuto mbele ya macho ya watanzania, hakuna juhudi za makusudi kukinusuru chama hicho. Hotuba ya mwenyekit wa ccm kwa wazee wa dar es salaam ilikuwa nafasi adimu na pekee ya kukiinua chama na kurejesha mvuto kwa watanzania. Kilichotokea jana, mwenyekiti, kuamua kupiga danadana kwa namna tofauti kwenye skendali ya escrow. Kusema mhongo anawekwa kiporo ni kukiangamiza chama. Kushindwa kumwajibisha maswi moja kwa moja ni kukiua chama. Mbaya zaidi, ni pale alipomwajibisha tibaijuka ambaye ni mnufaika wa mbali sana katika skendali hii.

Ccm kama chama itasema nini mbele ya watanzania?. Kwanini chama kikose mvuto kwajili ya watu wawili?. Nani mwenye ujasiri wa kuinadi ccm mbele ya watanzania wa leo baada ya hotuba ya jana?.

hapo siku hizi wanajiita chama cha mapingamizi
 
Back
Top Bottom