Mwenyekiti wa Bunge Mh. Zungu unamlinda nani katika hili

ngozimbili

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
1,398
1,006
Wakati wa kutoa mchango wake Mh. Zitto Kabwe kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kama ilivyo ada alipewa dakika 5 lakini kwa mshangao mkubwa Zitto aliongea dakika 2 sekunde 54 na mh Zungu akamwambia dakika zake 5 zimeisha. Swali langu kwa Zungu unamlinda nani??
 
kuna mtu nafikiri ni yule wa lema aliyesema anamjua anayefanya mauaji zungu akamwambia ampe hyo jina mwigulu
 
Back
Top Bottom