MWENYEKITI WA BODI YA PAROLE Mhe Augustino Mrema-Mubashara TBC 1 kesho asubuh

hassan kisabya

Senior Member
Jun 14, 2014
166
250
Kesho tar 16/6/2017 kuanzia saa 12:00 (saa kumi na mbili asubuhi) Mfuatilie Gwiji la Siasa nchini,Mw.kiti wa Bodi ya Parole Mhe. Dr. Augustino Lyatonga Mrema atakuwa na kipindi mubashara kwenye TV ya Taifa TBC 1 na baadae kwenye Radio TBC 1, akizungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea hivi sasa kwenye Taifa hili. Tafadhali usikose KUFUATILIA kupata Busara za Mkongwe huyu wa SIASA hapa nchini.
1497549744049.jpg
 

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
10,409
2,000
Gwiji wa njaa kali almaarufu alosto ya kupigika,kachoka kiafya mpka akili arudi kiraracha akapumzike
 

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,940
2,000
Suala la makinikia limemuibua tena,

Kesho atatokwa Povu akimsifia MAGUFULI mpaka bloodsugar ipande tena.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom