Mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda Ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa Na Watu Wasiojulikana

Mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda Ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa Na Watu Wasiojulikana

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,614
Reaction score
40,161
Ndugu Temba Gaspar Erasmus mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa na Watu wasiojulikana akiwa anatoka kwenye moja ya Benki jijini Arusha.

Taarifa zaidi kukujia
Screenshot_20250830-171921.jpg

Screenshot_20250830-173621.jpg

 
Baada ya kiinimacho cha uchaguzi Oktoba 2025, wakosoaji watakuwa wengi sana na kiwango cha UTEKAJI na KUPOTEZWA watu kitaongezeka maradufu
 
Back
Top Bottom