Mwenyekiti wa ACT ni katibu wa ADC

Mwenyekiti wa ACT ni katibu wa ADC

Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
acha umburura wewe,kuna uhusiano gani wa kuboresha daftari la wapiga kura na kujiunga na chama? na mtajamba jamba kwa kushabikia usaliti wakati umeambiwa mtu mmoja anashikilia vyama viwili,hata akil yako haushughulishi au ndo njaa yenyewe.

kuna uhusiano gani kati daftari la wapiga kura kuboreshwa na vijana kujiunga na act????
ni kijana gani anayejitambua anayeweza kujiunga na hicho chama cha wasaliti?? labda wale masalia waganga njaa!
 
Usifanye mchezo bhana , HATIMAYE WASALITI wamewekewa king'amuzi kinaitwa limbu bila kujua ! Je hela ya watu inatumika vizuri ?
 
Mkuu ni mbadala wa CCM manake lengo ni kuiondoa CCM madarakani au lengo la ACT ni kupambana na CHADEMA??

Wenyewe wanadai lengo ACT ni kukuza uchumi wa vijana, hawana habari na CCM na madhila yake kwa taifa.Yumkini wanalenga vijana wakijua vijana wengi ndiyo nguzo ya CDM hivyo lengo kuu nyuma ya pazia ni kudhoofisha CDM. Chakujiuliza ni nani anamfadhili huyo Limbu na wenzake katika harakati zao za kutafuta wanachama nchi nzima ili kukidhi matakwa ya usajili katika kipindi hiki ambacho chama hakina ruzuku?
 
well said kaka yangu ndio maana huwa nasema CCM itatawala milele because of these things....
 
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
acha umburura wewe,kuna uhusiano gani wa kuboresha daftari la wapiga kura na kujiunga na chama? na mtajamba jamba kwa kushabikia usaliti wakati umeambiwa mtu mmoja anashikilia vyama viwili,hata akil yako haushughulishi au ndo njaa yenyewe.

kuna uhusiano gani kati daftari la wapiga kura kuboreshwa na vijana kujiunga na act????
ni kijana gani anayejitambua anayeweza kujiunga na hicho chama cha wasaliti?? labda wale masalia waganga njaa!
 
Mimi ninakadi ya cdm lakini hivi sasa ni mwanachama mtiifu wa act nanikijana ninar jitambuwa tunasubiri daftari la uboreshaji tatizo la cdm wanapenda kufatilia mambo ya act namini mtafeli tu hamuwezi siasa za act kwani ni zauwazi na ukweli ww ukipeleka sera hiyo cdm utafukuzwa na utabatizwa jina la msaliti taifakwanza chama badae
 
Kwi! Kwi! Kwi! Mama mbavu zangu weee !

hawa bk7 wanafurahisha, sasa sijui wako huko act au wako CCM! wenyewe ni anti CDM, Tuliwaona mahakamani walikuwa kwenye kundi la CHADEMA WASALITI, wakadiriki hata kuvaa sare za CHADEMA!
 
kuna uhusiano gani kati daftari la wapiga kura kuboreshwa na vijana kujiunga na act????
ni kijana gani anayejitambua anayeweza kujiunga na hicho chama cha wasaliti?? labda wale masalia waganga njaa!

vijana wote watajiunga na act, chadema tumeshawashtukia ni genge la walafi wa ruzuku
 
Usifanye mchezo bhana , HATIMAYE WASALITI wamewekewa king'amuzi kinaitwa limbu bila kujua ! Je hela ya watu inatumika vizuri ?

ile ela ya ruzuku inayotumbuliwa na mahawara pale makao makuu ufipa inatumika vizuri?
 
Endapo kweli Zitto atahamia ACT basi hilo ni tishio kwa CCM, sio CHADEMA
 
Hivi BK7 tayari wamehamia ACT?

Tiba

Si wanafurahia "divide and rule"..wanafikiri ACT itapunguza kasi ya CDM, then CCM atakuwa hana wa kumpa pressure kung'oka Magogoni angalau kwa miaka mingine 5 au 10 ijayo....ni unafiki tu wala siyo kwamba wanaipenda sana ACT!!
 
ACT ni mkakati wa CCM kudhoofisha upinzani Tanzania..period!
 
suala la mende kuangusha kabati halijadiliwi kwenye uficho ni public interest hiyo
 
Mimi ninakadi ya cdm lakini hivi sasa ni mwanachama mtiifu wa act nanikijana ninar jitambuwa tunasubiri daftari la uboreshaji tatizo la cdm wanapenda kufatilia mambo ya act namini mtafeli tu hamuwezi siasa za act kwani ni zauwazi na ukweli ww ukipeleka sera hiyo cdm utafukuzwa na utabatizwa jina la msaliti taifakwanza chama badae

nataka nijiunge na act, ila niwe mwenyekiti!
 
Mimi ninakadi ya cdm lakini hivi sasa ni mwanachama mtiifu wa act nanikijana ninar jitambuwa tunasubiri daftari la uboreshaji tatizo la cdm wanapenda kufatilia mambo ya act namini mtafeli tu hamuwezi siasa za act kwani ni zauwazi na ukweli ww ukipeleka sera hiyo cdm utafukuzwa na utabatizwa jina la msaliti taifakwanza chama badae

hawa ndio wasomi wa act ambao hata kuandika ni shida? Mbona tuliambiwa act ni cha wasomi??
 
Mkuu, kuna watu wanajaribu kukipoteza mwelekeo chama hiki. Hakika CHADEMA wamenaswa ile mbaya

Inasikitisha eti kinajiita chama cha upinzani halafu kimekuja kupambana na chadema duuuu
 
Back
Top Bottom