Kwa taarifa iliyoandikwa, kwangu Mimi tatizo siyo kuwa na kadi za vyama zaidi ya kimoja bali kuwa kiongozi wa ngapi za juu wa vyama viwili vya siasa. Msajili wa vyama vya siasa anatakiwa kuliangalia hili kwa makini ili kuzuia tanka hii.
lakini inavyoonekana ni kuwa hata wanachama wanaodhamini vyama hivi vinapoanzishwa ni walewale. Kwa hiyo si ajabu kumkuta mtu mmoja amedhamini vyama zaidi ya kimoja. Bahati mbaya sheria inawalinda kwa sababu akishachukua kadi ya chama kimoja anahesabika amejivua uanachama wa chama alicho kuwemo kabla.
Hii mibadala inalenga nini? cha muhimu ni kuacha utapeli wa siasa na kuunga chama kimoja cha upinzani kuindoa CCM then tuchague sasa CHAMA chenye uwezo wa kuongoza vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.