Uchaguzi 2020 Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi anastahili kulaumiwa katika hili, tulimshauri sana amkate Lissu, yeye akaona hana madhara

Angekuwa mwepesi mngefungia vyombo vya habari visitangaze kampeni zake ?

Angekuwa mwepesi mngeitisha kamati kuu yote kwenda kwenye kampeni ?
Yeye kama yeye ni mwepesi lakini anatembea na mtego wa ajenda za nje zilizojificha.

Ndio maana mapambano yanakuwa ya kina kwani hupambani na mtu mmoja anayeonekana ikaishia hapo, kuna wenye agenda Chafu nyuma ya uwepo wake.
 
Kama ilishindikana kweli kumnunua Lisu ili aunge juhudi za Magu, ndio basi tena hakuna namna zaidi ya kumuacha achukue nchi. Sera zake kiukweli zinamashiko, kama ni barabara na miundombinu hizo kazi zitakamilishwa na waziri wa ujenzi wa awamu ijayo.
 
Yeye kama yeye ni mwepesi lakini anatembea na mtego wa ajenda za nje zilizojificha.

Ndio maana mapambano yanakuwa ya kina kwani hupambani na mtu mmoja anayeonekana ikaishia hapo, kuna wenye agenda Chafu nyuma ya uwepo wake.
Ajenda za nje zipi ?
 
Back
Top Bottom