PreGE2025 Mwenyekiti TUCTA akemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa Umma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Frank Kailembo amekemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa umma na kueleza kuwa yapo majukwa na taratibu za kisheria zinazowapa mwanya wa kuwasilisha changamoto zinazowakabili.

Kailembo amesema hayo katika madhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa wilayani Ngara.

Your browser is not able to display this video.
 
Chawa kwa sasa zimejaa kila sekta.
 
Nyie wenyewe mmeshindwa kuwatetea mmebaki kula michango yao tu bila msaada wowowte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…