johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,036
Mkuu huyo Sugu hajatajwa lakini nimekuelewa!Huwezi kuwa upande wa timu ya wajinga halafu na wewe usisimamie ujinga. Eti TBC isioneshe bunge laivu kwa kuwa wabunge wa upinzani wataonekana jinsi wanavyowasilisha hoja zao bungeni. Leo ujinga huo huo inawezekana umeleta hoja ya kwamba Prof. Jay na Sugu wakiwemo basi uchadema wao utapanda chati.
Pilau bila ya Kachumbari halinogi!!Mkuu huyo Sugu hajatajwa lakini nimekuelewa!
Yote haya kisa Makonda. Prof jay ana impact gani mpaka awepo ktk timu? Kina shilole hawakuwepo ktk kamato ila wamejiona wanaweza kuwa na mchango, wakaenda wenyewe. Pia kuna wengine, sasa kama mtu alisubiri apewe kadi ya mualiko shauri yake.Mwenyekiti mstaafu wa Baraza la michezo mzee Jamal Rwambo amesema timu ya taifa ni yetu sote na kwa maana hiyo siasa za vyama hazipaswi kupewa nafasi.
Amesisitiza kuwa Taifa Stars inapaswa kuwa ni chombo cha kuwaleta watanzania pamoja badala ya kuwa chanzo cha utengano.
Rwambo anasema watu kama Prof Jay walipaswa kuwemo katika kamati ya uhamasishaji lakini hawamo.
Yote kwa yote mzee Rwambo amesema Taifa Stars itashinda mechi ya leo kwa magoli mengi tu na hilo halina mjadala.
Source Tamasha la michezo ITV
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu naona Jamal amekugusa!Yote haya kisa Makonda. Prof jay ana impact gani mpaka awepo ktk timu? Kina shilole hawakuwepo ktk kamato ila wamejiona wanaweza kuwa na mchango, wakaenda wenyewe. Pia kuna wengine, sasa kama mtu alisubiri apewe kadi ya mualiko shauri yake.
Hahahaa.......!!Sasa hiyo ndio siasa, maana mwingine atasema lady jay dee angekuwemo, mwingine atasema juma nature
Sent using Jamii Forums mobile app
Tff!
Ndiyo maana Timu yetu haifiki popote,kumbuka Mzee alivyotia milioni 50 tu tulipigwa moja huko Lesotho Leo makonda yupo kazini tutafungwa tena sababu ya siasaYote haya kisa Makonda. Prof jay ana impact gani mpaka awepo ktk timu? Kina shilole hawakuwepo ktk kamato ila wamejiona wanaweza kuwa na mchango, wakaenda wenyewe. Pia kuna wengine, sasa kama mtu alisubiri apewe kadi ya mualiko shauri yake.
Mkuu jitahidi kuwa mzalendo!Uganda 3 - Taifa stars 2.
Leotho 3 - Cape Verde 2.
Habari ndio hiyo.
Akili ya Umaskini inakutesa huna lolote. Kilaza mmoja na Mjinga kama wewe hawezi kufanya Watanzania na akili zao wasihamasikeFunga hiyo Tanzania ili bashite na genge lake wakose point za mezani. Watu hawajihusishi na lolote kuhusu soka kisha wakiona mpenyo wa kupata sifa za kisiasa wanaleta kimbelembele. Funga hao wanaccm. Na tunaomba Lesotho wapate ushindi wa kishindo.
Makonda hana akili ni mjinga timu ya taifa imeigeuza ya ccm anahusisha ushindi wa timu na ulevi akili yake zeroYote haya kisa Makonda. Prof jay ana impact gani mpaka awepo ktk timu? Kina shilole hawakuwepo ktk kamato ila wamejiona wanaweza kuwa na mchango, wakaenda wenyewe. Pia kuna wengine, sasa kama mtu alisubiri apewe kadi ya mualiko shauri yake.
Akili ya Umaskini inakutesa huna lolote. Kilaza mmoja na Mjinga kama wewe hawezi kufanya Watanzania na akili zao wasihamasike