Mwenyekiti Kheri James aanza kazi rasmi ya kuisuka UVCCM Mpya

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
510
839
*19/12/2017 Mkoa wa Dodoma.*

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Ndg Kheir James (MCC) amekutana na kufanya mazungumzo na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa yote nchini wa UVCCM.

Kikao hiko kimefanyika ukumbi wa mikutano CCM Mkoa wa Dodoma kilihudhuriwa pia na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Ndg Tabia Mwita Maulid na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka.

Kazi umeanza na inaendelea.......
IMG-20171219-WA0211.jpg
IMG-20171219-WA0214.jpg
IMG-20171219-WA0215.jpg
 
Huyu kijana atainyoosha kweli kweli UVCCM, wale wazenji waliiharibu kabisa na kuugeuza kuwa Umoja wa Vijeba like le mutuz & co!!
 
Back
Top Bottom