Mwenyekiti halali wa CUF ashiriki usafi

Mwenyekiti halali wa CUF ashiriki usafi

fa67b7ee6a7a8818358ea90f1af9d9c0.jpg
fb5a0ee9784a5f4d0b3d293904e32680.jpg
huyu jamaa haitendei haki elimu yake aisee. hadi namwonea huruma.
 
Vyovyote mtakavyomwita alikwishafukuzwa CUF Huyo ni msaliti Mwenyekiti gani wenyeviti wa seikali za vijiji Na mitaa , madiwana Na wabunge hana
 
haa haa lipumba uenyekiti tu anaung'ang'ania hivi. je angeshinda urais ingekuwaje?
 
Bwana yule hadi anasindikizwa na polisi kwenye usafi? Huyu atakuwa ministranti wa Kuhani Mkuu wa chama kile kikubwa cha lumumba.
 
Kama alivunjwa mkono anafaa saana kuwa mwenyekiti kwakua ni mvumilivu tena ngangari sefu ni urojo hana jipya
 
Uchafu wa kupigia picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzuri wa Prof Hana Papara. Akina Seif wamejipelek a kwny Corner wenyewe kwa kukimbilia Mahakamni. Hukumu ikitoka sijui ndio watarudi kwny Meza ya Mazungumzo?
Hata wakirudi kwenye meza ya mazungumzo watamwaga tu.Sioni sehemu anayoweza kupenya maana hata wabunge kasoro mama yule wameshatangaza kutokuwa tayari kufanya nae kazi.Hawana imani kama ataweza kuwaongoza kwenye mapambano.Mkuu wa kikosi akikimbia vitani adhabu yake ni mbaya mno.
 
Back
Top Bottom