Mwenyekiti halali wa CUF ashiriki usafi

Mwenyekiti halali wa CUF ashiriki usafi

We mtoto acha kupiga mayowe embu acha watu waone wenyewe naukumbimbuka wimbo wa zamani mtatiroooo ukumbuke wimbo huu usije sema hatukukwambia maaana huu mchezo mmmhhhj
 
Maprof wetu wanajua sana kupiga hela, bwana yule anazipiga tu za wale wa namba
 
Ingekuwa na tija na maana zaidi kama usafi huo angefanya wakati ameshaachana na siasa na usafi ikawa kama sehemu yake ya kupata mkate, wananchi wanagefurahi kuliko analofanya sasa. Hata ajikoshe vipi!!!!
 
BWANA Poro PESA..akiwa anafanya usafi Maeneo ya Buguruni huku akilindwa na police. Aaaaah



14906857_1227000564004736_2632656652291868707_n.jpg
 
Back
Top Bottom