Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
yaan ni mratibu wa kata halafu mwenyekti wa ccm, na ni la saba huenda kwel aligushi vyet sema alinajifalagua kwa kuwa ana kinga ya chama hapo mkurugenzi wa halmashauri kwa kuwa ni kada mwenzake ataona namna ya kufanya ili huyu mratibu kata na kada mtiiifu asipoteze ugali japo wa kugushi