PreGE2025 Mwenyekiti CCM Geita: Wanaopiga kampeni kabla ya wakati wanatengeneza migogoro kati ya wananchi na viongozi walioko madarakani

PreGE2025 Mwenyekiti CCM Geita: Wanaopiga kampeni kabla ya wakati wanatengeneza migogoro kati ya wananchi na viongozi walioko madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Nipe Maji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
335
Reaction score
190
Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Geita kimekemea baadhi ya wanachama wake ambao wanaendesha kampeni za chini chini kabla ya wakati jambo ambalo linakiuka katiba ya chama

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Nicholaus Kasendamila amesema hayo akiwa kijiji cha Nyankanga kata ya Nyamalimbe wilayani Geita

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kasendamila amesema wanaoanza kampeni mapema wanatengeneza migogoro kati ya wananchi na viongozi walioko madarakani

Naye katibu wa CCM mkoa wa Geita Bi. Alexandrina Katabi amesema huu sio wakati wa kuchafuana na badala yake wenye nia ya kugombea waendelee kuwa na subra
1743749262312.png


Credit - Radio Kwizera
 
Acheni wajumbe wale ... Ndio muda wao huu kuna sikukuu zinakuja wajumbe watapata wapi pesa ...
 
Back
Top Bottom