Mwenyekiti BAVICHA Taifa ndani ya Same

kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.

pole sana ndugu,lakini uzuri ni kwamba tukikomboa nchi matunda tutakula wote bila kujali vichaa,wagonjwa wa akiri....operation hii najua hamuipendi lakini mungu kamua kutusikilaza wananchi.
 
Hivi ule mradi wa Anne Kilango wakusindika Tangawizi bado anaendelea nao??
 
BAVICHA tunaomba uende Korogwe Mjini na vijijini majimbo yako wazi.
makamanda tunalalamika huku tunahitaji CDM please.
 
Ratiba ni siku 4 tu muombe Mungu
Nimeona kwenye FB page ya Heche.
Tafadhali msiishie hapo same mjini. pandeni na kule milimani kwenye vijiji vya bombo, mwembe, mtii, lugulu, mamba miyamba....mna kwingineko maana huko ndo kuna watu wanaohitaji elimu ya ukombozi.
Kilango na matayo wamewasqueeze sana akili zao hao wapare.
 
Pamoja mkuu
Mkuu Simon James,
Heshima kwako kamanda, kweli umepigania kuhakikisha vita ya ukombozi inafika Same, na juhudi zako tumeziona.
Hongera sana, endeleeni kuwahamasisha watu kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano.

Mungu Ibariki Same
Mungu Ibariki CHADEMA
Mungu Ibariki Tanzania
 
Pole kama neno lime kuumiza. Lakin kwa wana same ni Breking news baada ya kunyonywa miaka nenda rudi. Kwa hakika huu ni ukomboz

hakuna cha ukombozi hapo! yote sawa! kila mtanzania anatafutia tumbo lake!
 
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.

Kazi ya wanasiasa ni nini kwani? Au hujui kuwa kukuza na kueneza sera za chama ndio kazi yao inayowapatia kipato?? Wakikaa kimya, wanaonekana chama cha msimu..!!!
 
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.
kazi, elimu ya uraia, kuimarisha chama na kupokea wanachama wapya vinaenda sambamba muda hautusubiri.... wakati ukuta 2015 siyo mbali kaka.
 
Back
Top Bottom