Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Acha fitina wewe angekuwa hana uwezo wa kujenga hoja angekuwa mwenyekiti wa BAVICHA taifa? Chadema hatukurupuki kuchagua tu mtu! Uwezo anao!kwann HECHE tuuu...vijana wenye uwezo wako wengi,namjua vizuri HECHE uwezo wake katika kujenga hoja ni mdogo sana.. Nafkiri watu kama MAWAZO,MILLYA,HENRY KILEO wangesaidia sana..kama wangepewa nafasi.